Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
WanaJF,
Tukio la Arusha limeendelea kudhihirisha utashi wa jk katika suala zima la kudumisha amani nchini iliyojengwa na Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere. Ukweli ni kwamba jk hana utashi na kwa maana hiyo sisi wananchi hata ndoto ya maendeleo tunayoota kuwa tutapata chini ya uongozi wake ni ya abunuwasi. Tangu lini nafsi iliyojaa hila na mikono iliyotapakaa damu ya wasio na hatia ikaongoza nchi kwa amani na kuwaletea wananchi maendeleo!!??