Nafasi za Kazi ZILIZOTANGAZWA NA CHUO CHA USIMAMIZI WA MAHAKAMA

kansenyeje

Member
Dec 11, 2011
11
0
jamani wadau naomba msaada wenu wa kupata tangazo la kazi lililototewa na chuo cha usimamizi wa mahakama lushoto tanga.
 
Hakuna nafasi ya kazi iliyotangazwa kwa sasa na Chuo cha usimamizi wa mahakama, Ila wametoa shortlisted ya walioomba kazi ambazo zilitangazwa na Sekretalieti ya ajira kama unataka kuona ingia kwenye mtandao wa ajira.go.tz utapata kila kitu... ndo hivyo mdau acha pressure!!!!
 
hakuna chuo cha usimamizi wa mahakama jamani ebu tuwe makini mana mambo madogo madogo klama haya yanaonesha kutokuwa makini. Ni Chuo cha Uongozi wa Mahakama(IJA) Lushoto.
 
hilo tangazo lilitoka kati ya mwezi wa june au july, alafu ajira.go.tz nashindwa kuona matangazo yalipita muda wake!!
 
Hakuna nafasi ya kazi iliyotangazwa kwa sasa na Chuo cha usimamizi wa mahakama, Ila wametoa shortlisted ya walioomba kazi ambazo zilitangazwa na Sekretalieti ya ajira kama unataka kuona ingia kwenye mtandao wa ajira.go.tz utapata kila kitu... ndo hivyo mdau acha pressure!!!!

ngugu yangu syosaamenye kwenye tangazo lao waliandika chuo cha usimamizi wa mahakama, quoted from there!!
 
I dont want to condemn you what I was trying to say it is written and posted on PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS, even me I get trouble to understand thats only. Je chuo cha usimamiz wa makama ni kipya au ndo kilekile cha Uongozi wa mahakama pls correct me if I am wrong!

Actually sikulaumu kwani si kosa lako. Kwa ufupi wengine wanasomesha hapo chuoni ndio mana nimeshangaa kuona jina hilo, ebu jiulize IFM=Institute of Finance Management
IJA= Institute of Judicial Administration. Kwa hiyo Kuna utofauti kati ya Usimamizi na Uongozi.
 
Back
Top Bottom