Mfanyakazi wa duka anahitajika

berylyn

JF-Expert Member
Dec 26, 2021
863
2,534
Mfanyakazi wa kuuza duka la vyakula na vitu vingine anahitajika.

MAJUKUMU
  • Atauza vitu vya dukani na kutunza kumbukumbu zote za mauzo.
  • Atasafisha eneo lake la kazi kila siku
JINSIA: Awe mwanamke/msichana
Umri: 16-25

Mshahara 100,000 kwa kuanzia.
Kuishi- awe anaishi kwao (Madale, Goba au Tegeta)

Muda wa kazi: saa 2 asubuhi Hadi saa 3 usiku.

Elimu: uanzia darasa la saba.
Kuanza kazi: Awe tayari kuanza kazi Mara moja.

Duka lipo karibu na kituo Cha polisi Cha madale.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI:Tuma message(WhatsApp) namba 0685566242.

Mwisho wa kupokea maombi ni 2/10/2023
 
Nipo tayari kazi nakaa tegetaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom