NAFASI ZA KAZI SINIOR SALES NATIONAL HOUSING.

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Wadau, habari zenu? jamani naomba kujua kama kuna mtu aliyeomba kazi pale NATIONAL HOUSING kwa post za sinior sales officer kama aliitwa kwenye interview? kama bado lini wataita?

au ilikuwa zuga?maana walitangaza nafasi mwezi wa kumi na moja kama sikusei mpka leo wapo kimnya au ndo ivyo walitangaza kuonekana wametangaza kumbe walikuwa na viraka ndani vya ndugu zao? maana NHC nao nadhani wanaitajika kutumbuliwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom