nafasi za kazi mgodi mpya

musa john

Member
Apr 25, 2012
20
9
TANGAZO LA KAZI

Kampuni ya CHIWACO INVESTMENT'S COMPANY LIMITED.
inatangaza nafas ya kaz katika mgodi mpya MASUMBWE BUKOMBE

1) Operators nafasi 14
2) Supervisors nafasi 17
3) Ofisi secretary nafasi 10
4) madereva wa magari nafasi 14
5) Walinzi nafasi 20

mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/5/2012 tuma kwa email vivul vya kopi za elimu au uzoefu wa kazi
meneja uhusiano.

email chiwainvestment@gmail.com
au piga simu muda wa kazi 0769560479
 
Inasikitisha sana watawala wameamua kuuza non renewable resources zote sijui nitawaambia nini wajukuu zangu
 
Operators wa Nini?
Supervisors wa nini?
Tangazo halijajitosheleza kabisa.
Vp kampuni haina website yao?
 
TANGAZO LA KAZI

Kampuni ya CHIWACO INVESTMENT'S COMPANY LIMITED.
inatangaza nafas ya kaz katika mgodi mpya MASUMBWE BUKOMBE

1) Operators nafasi 14
2) Supervisors nafasi 17
3) Ofisi secretary nafasi 10
4) madereva wa magari nafasi 14
5) Walinzi nafasi 20

mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/5/2012 tuma kwa email vivul vya kopi za elimu au uzoefu wa kazi
meneja uhusiano.

email chiwainvestment@gmail.com
au piga simu muda wa kazi 0769560479
Thanks!!!God bless you
 
thank you mkuu, ni vema tukasaidiana katika kaz ya kutafuta kazi, coz having a right information inasaidia sana.
 
Operators wa Nini?
Supervisors wa nini?
Tangazo halijajitosheleza kabisa.
Vp kampuni haina website yao?

jaman mimi nimelikuta limebandikwa kahama nikafanya kuchukua baadhi ya detail na kuziweka humu sikuweza kuzikalili zote pia nimeshindwa kulibandua na kuliscan lakin pia mnaweza kupiga simu mkamuuliza mhusika mm sijui lolote nimefanya msaada tu au nimekosea wakuu
 
Mbona hii kampuni haipo kwenye orodha ya BRELA? Au ndio tumeliwa?

jaman nimeulizia nimeambiwa mgoni unafunguliwa rasmi mwezi wa saba interview ni mwezi wa sita kwa watakaochaguliwa pia kaz rasmi wanaanza mwezi wa saba sasa hivi niwanafanya ujenz pia kama hauamin sio razima mkuu
 
kweli kazi za siku hizi bila chochote au kumjua mtu tutakaaa sana nyumban mdogo wangu kaongea na huyo dada ambae ni msimamizi wa mgodi kamuunganisha na HR kaambiwa atoe laki moja sasa hivi akianza kazi ampe HR laki 2 nakapewa email ya HR atumie maombi sio hiyo ya wote na kaambiwa aende tarehe 20 mwz wa sita mmmmmh kaz ipo kazi za siku hizi bora kupika vitumbua rushwa haishi hata wakifanya nini
 
aaaaaaaaaaaaah ukibahatisha umeuchinja migodini kuna mishahara mikubwa kuanzia laki 7 mpaka milion kupata ndo kimbembe
 
kweli kazi za siku hizi bila chochote au kumjua mtu tutakaaa sana nyumban mdogo wangu kaongea na huyo dada ambae ni msimamizi wa mgodi kamuunganisha na HR kaambiwa atoe laki moja sasa hivi akianza kazi ampe HR laki 2 nakapewa email ya HR atumie maombi sio hiyo ya wote na kaambiwa aende tarehe 20 mwz wa sita mmmmmh kaz ipo kazi za siku hizi bora kupika vitumbua rushwa haishi hata wakifanya nini

oh mh kali!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom