<br />Ana elimu gani huyo mdogo wako? Watatangaza magazetini hasa kwa wale Proffessional ndio wata aply directly makao makuu na hawa wengine lazima wapitie JKT ndio aqualify kwenda Jwtz
jaman jaman!huyo mdogo wako amekosa nini mpk unataka aende majeshini?najua WaTanzania wengi dhana ya kupeleka ndugu au watoto wao kigezo nikuwa wamfeli shuleni,au wamepata division 4 za mwsho so jeshini ni last option,mdogo wako ana elimu gan?majeshini bila elimu ya kueleweka unataka mdogo wako akawe mtumwa na manamba wa kutupwa,atakuwa ni mtu wa kukataa tamaa kama tunavyoona wanajeshi askari wetu hapa Tz na kuishia ktk gongo,hakikisha awe na elimu kwanza angalau digrii ndio umpeleke,kutwa wenzetu hao wanasema maslahi duni,japokuwa hawasemi direct lkn hawana kitu na serikali imewatupa kimapato,angalia ni nn sbb ya wewe kutaka kumpeleka huko...iwish ningeonana face to face nikwambia uozo mwingne mwng ulipo majeshini hasa ktk vyuo vyao vya mafunzo.....Yaan acha tuu!