mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,124
- 1,747
haitoi majibu hapo hapo nasikiaInakupa majibu hapo hapo mkuu. Embu ingia vizuri, ukishafanya majibu unayapata
haitoi majibu hapo hapo nasikiaInakupa majibu hapo hapo mkuu. Embu ingia vizuri, ukishafanya majibu unayapata
tusubiri wajuzi, but dokezo naskia kuanzia 85Kwenye grade wanawez chujkua kuanzia marks ngapi mkuu?
Hongera sana Mwamba kwa kuingia hatua hii, sasa baada ya hii Oral inaweza kuwa mapema week ijayo, maana mchujo wa Uptitude huwa sio mchezo, HONGERAWamenitumia email, nimefanya Interview online juzi, mwisho ni leo tarehe 8, so nikipita naingia Oral, baadae kaziView attachment 1412480
Haikuwa NgumuNishapiga tayari.View attachment 1412482
Watu wapo kimyaa hawasemi ila nadhani nmb mwaka huu wameacha ule mtindo wao wa kuwatumia email waliokosa nafasiHaikuwa Ngumu
Kumbe haikuwa ngumuHaikuwa Ngumu
Asante KamandaHongera sana Mwamba kwa kuingia hatua hii, sasa baada ya hii Oral inaweza kuwa mapema week ijayo, maana mchujo wa Uptitude huwa sio mchezo, HONGERA
Kawaida sanaaaaHaikuwa Ngumu
Kila la heriKawaida sanaaaa
Wanajua wenyewe mkuuKwani pass marks ni ngapi?
Poa bossWanajua wenyewe mkuu
aptitude huwa ni bahati nasibu aisee, ila tuwaombee waliofanya waweze kufauluHongera sana Mwamba kwa kuingia hatua hii, sasa baada ya hii Oral inaweza kuwa mapema week ijayo, maana mchujo wa Uptitude huwa sio mchezo, HONGERA
kwahiyo matarajio yapo, Bank officer, it means ukienda hatua inayofuata ndio watakuambia kama ukipita utafanya kama ,TELLER, BACK OFFICE au CUSTOMER SERVICE..? Ndio hivo auKawaida sanaaaa
kabisa yaani, mm huwa sina hamu nayo yaaani, nshawahi kutana nazo hizo kama4aptitude huwa ni bahati nasibu aisee, ila tuwaombee waliofanya waweze kufaulu
wengi waliotumiwa wanadai ni balaa
Nishapiga za NMB 2
Mshahara wao huwa unakuajeBila shaka, ila kwa kuwa nishawahi kuwa Intern nao, huwa wanazunguka... Unaanzia Customer desk, teller au hata back office