Commissioner_
Member
- Feb 1, 2017
- 89
- 77
So huwa unakwama kwenye oral tu mzee, au hata marks za kwenye Aptitude?Nishapiga za NMB 2
CRDB 3
LAPF 1
N.k
Mambo ni kawaida, sema muda huwa tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
So huwa unakwama kwenye oral tu mzee, au hata marks za kwenye Aptitude?Nishapiga za NMB 2
CRDB 3
LAPF 1
N.k
Mambo ni kawaida, sema muda huwa tatizo
Mkuu wewe hukutumiwa? Au hukuapply?wengi waliotumiwa wanadai ni balaa
sikutumiwa
kaa karibu na simu yako, huku ukichungulia Email, hahahahhaaMi niliifanya hiyo aptitude test jana ngoja tusubir majibu
Kati ya zote, niliingia Oral katika moja tu, na nilipata kwani ilikuwa kazi ya Mkataba.So huwa unakwama kwenye oral tu mzee, au hata marks za kwenye Aptitude?
Sent using Jamii Forums mobile app
Majibu tayari kuna jamaa yangu kapata 65% sijui kama watamuita.
Naamini mtapata
Kaangalia kwenye account yake kule alikotumiwa test
Naamini mtapata
Mi niliifanya hiyo aptitude test jana ngoja tusubir majibu
Kila la heri mzeeHahahaha.. ndo naona hapa Majibu, nimeramba 68%... ngoja tuone what next..
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha nichekMajibu tayari kuna jamaa yangu kapata 65% sijui kama watamuita.
Nimepiga 71%Kila la heri mzee
Nimepiga 71%
Eastern zone!