Ukakimbia haswaa hmm.. Sawa
Wametoa leo ingia Kwene website yaoAje hizo Selection za Jkt Form Six ziko wapi Wakuu?
vp kijana usahili umeisha vikosini?Subiri mpaka mwezi wa 8 mujibu wakimaliza tu mnapigwa usahili karibu chomboni
Duuh mkuu Ruvu tu ulikimbia sasa ungepangiwa Milundikwa hukoEhh kwa mujibu hapo 832 KJ nilipigwa doso kesho yake nikasepa
Umeahirishwa kwa mudavp kijana usahili umeisha vikosini?
Pdf la mujibu wa sheria 2023 hata Mimi naitafuta tangu jana sijaipata, yule atakayeipata naomba a-share humuSijui shida nini ila siipati kabisa hiyo pdf ebu share umu basi