Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

To clarify things,
Nyote mtasoma madodoso yote OK ila watakaojaza dodoso la jamii ni wasimamizi Wa maudhui Bcoz wao Hawatajaza Madodoso mengine kazi yao itakuwa kugawa EA na kusimamia from 23/8 to 3/9/2022
Endelea tu kujiongopea na kujipa matumaini ila ikifika tarehe 15 utaelewa
 
Hunijui sikujui, unapata wapi ujasili wa kuniita MDOGO wako.
Kwakukusaidia tu Makarani na Wasimamizi mchujo utaanza jumatatu ya tare15.
Sio wote mtakaofanya kazi wapo watakaondolewa kabisa na wapo watakao kuwa kama Reserves
Acha kuongopea na kuogopesha watu .
 
Hunijui sikujui, unapata wapi ujasili wa kuniita MDOGO wako.
Kwakukusaidia tu Makarani na Wasimamizi mchujo utaanza jumatatu ya tare15.
Sio wote mtakaofanya kazi wapo watakaondolewa kabisa na wapo watakao kuwa kama Reserves
Inategemea na nini?
 
We Jamaa umelewa Mbege sijui hivi unafikiri Serikali ina akili za kipumbavu hivyo yaani watu wamelipwa hela 950k then umtoe kabla ya Kaz duu hizi Pombe hatari
 
To clarify things,
Nyote mtasoma madodoso yote OK ila watakaojaza dodoso la jamii ni wasimamizi Wa maudhui Bcoz wao Hawatajaza Madodoso mengine kazi yao itakuwa kugawa EA na kusimamia from 23/8 to 3/9/2022
Makarani, wasimamizi na tehama wanamaliza mafunzo/seminar tarehe 15 isipokuwa kuna baadhi ya makarani watateuliwa na wasimamizi wa maudhui kuendelea na semina mpaka tarehe 19 hawa watafanya dodoso la jamii na sensa yake itafanyika tarehe 21 na 22.
 
Acheni kutunga uongo hamjui hata kuwa Kuna Field ???? !!! Upuuzi hampo NBS Kaz kupost uongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom