Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 4,477
- 1,408
Hata Watumishi wanaruhusiwa KuomaWEKENI NI NAFASI ZA WASIO NA AJIRA KABISA...
Mkuu angalia vema tangazo lipo kote walipotaja. Na namna ya kujaza inaonekana hiviMbona kwenye website zao hamna taarifa zozote
Mkuu, bado unashindwa kufanya maombi?Icho kitufe cha kuombea yaan hakionekani aisee nimkweli ICT officer wa Tamisemi hawana kitu
Yap naona platform yao ina sinzia sana hasanoption ya wilaya, kata pale pqna shidaMkuu, bado unashindwa kufanya maombi?
Umesoma vigezo vyote kwa umakini? Soma TANGAZO rudia mara nne mpaka mara tano ikiwezekana uwe na peni na karatasi unachukua important notes baada ya kuelewa vizuri vuta pumzi muombe mungu andaa nyaraka zako vizuri na wadhamini hakiki taarifa zako Soma TANGAZO tena mara ya mwisho pumzika baada ya masaa kaza Anza applications. Acha pupa.Msaada wadau namba ya NIDA inaandika invalid,au had uwe na hardcopy?
🤣🤣🤣🤣🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻Umesoma vigezo vyote kwa umakini???. Soma TANGAZO rudia mara nne mpaka mara tano ikiwezekana uwe na peni na karatasi unachukua important notes baada ya kuelewa vizuri vuta pumzi muombe mungu andaa nyaraka zako vizuri na wadhamini hakiki taarifa zako Soma TANGAZO tena mara ya mwisho pumzika baada ya masaa kaza Anza applications. Acha pupa