Nafasi ya masoko au mauzo

DALALI MKUU

JF-Expert Member
May 7, 2022
1,487
2,739
Hello wanabodi.

Elimu yangu ni diploma (Mass cim&IT)

Mkazi wa Dar es salaam Natafuta kazi ya marketing au sales au kuwa wakala wa bidhaa au huduma.

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 12 kwenye mambo ya masoko na mauzo

Kama una biashara pia naweza kukutafutia masoko au wateja nipate kamisheni.

Lakini pia kufuatilia na kutafuta tenda za serikal na taasis binafsi.
 
Nichek
 
Back
Top Bottom