NG'WENEKELE
Member
- Mar 7, 2011
- 14
- 0
Natafuta kibarua,nimetembeza CV mpaka viatu vimeisha sole.nimesoma law UDSM,ni male,nina umri wa miaka 27.Naweza fanya kibarua chochote chenye mshahara wa angalau 400000 kwa mwezi.nisaidieni kwa number 0683366196/0712815071.Mungu awabariki.