Specify kazi..
Ukisema kazi yyte kwann usijitolee kufanya usafi mjini Dodoma. Au iyo sio kazi?
Unaidhalilisha tu hiyo degree ya uchumi.
Wadau niko mjini Dodoma natafuta kazi ya aina yoyote ile. Nina degree ya Uchumi !
Mawasiliano: 0713294699
Hiyo digrii ni ya UDOM?
Nimekupata balozi!
nauhakika wa kuweza kufanya kazi katika NGO yoyote isipokuwa zinajihusisha na mambo ya afya, usimamiz wa biashara, bank, Saccos na kwenye taasis mbali mbali ambazo mtu aliyesomea uchumi anaqualify!
Wadau niko mjini Dodoma natafuta kazi ya aina yoyote ile. Nina degree ya Uchumi !
Mawasiliano: 0713294699