Nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inaweza kutangazwa wageni, diaspora na wananchi wakaiomba?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,125
Nimetafakari kuhusu nafasi za kitaaluma kama Gavana wa Benki kuu, nini madhara zikiruhusiwa kuombwa na mtu yeyote mwenye sifa?

Teua tengua zimekuwa nyingi jambo linaloashiria kuna shida ya wale wanaopatikana. Sisi tumekuwa hodari wa kukuza watu wasiotumika wanaondoka kwenda kujitafutia huko Duniani.

Lini zitatolewa wazi?
 
Back
Top Bottom