Nafasi mpya za kazi tanzania international universty

Jamani muhusika wa hiki chuo ni huyu hapa 0655 700777 au 0767 011344 anaitwa Dr Mnzava. mpigieni simu atawapatia maelekezo kamili.

Yaani usajili wa line za simu umesaidia sana,ona sasa "Dr" kanjanja anavyomulikwa mchana kweupeeeeeeeeeee,looh aibu yenu hiyo kina mama esnath na mnzava,,,,bado tunaifuatilia akunti yenu ya CRDB,,,mchezo ndo umeanza,ukijua hili wenzuo twajua lile
 
Nilikuwa nakusoma ili nione utaishia wapi, nimegundua wewe ni mtu wa kukurupuka halafu mpuuzi usiye na uelewa unajifanya much know kumbe ovyooo! unaposema chuo gani, kijengwe bonyokwa unamaanisha kuna sera inayokataza vyuo visijengwe bonyokwa au unaropoka tu! kama hujui vigezo just shut ur big mouth na hata hivyo kwa taarifa yako chuo hakipo bonyokwa bali along bonyokwa road ila kwa papara zako unadhani ukiambiwa ofisi fulani ipo morogoro road wewe kwa kiherehere chako utapanda basi uende morogoro!! shame on you!!

ww mpuuzi na ww ni part ya matapeli kina esnath na dr kanjanja mnzava??jibu hoja ya msingi?by the way mshakusanya sh ngapi so far za interview??shame on you....chuo kitakaa along bonyokwa??kwa eneo lipi hasa?????akili yako ndogo haiwezi kuongoza watu tulioerevuka mpuuzi ww..je wajua taratibu za kuanzisha chuo??na eneo kiasi gani linalohitajika???
 
Mimi nina swali moja. je TCU wanasajili chuo kabla hakijaanza au baada ya kuanza?

Nikusaidie ntu kwa upeo wako ulionao..hadi uwe umekamilisha taratibu za usajili kutoka TCU ndo chuo kinaruhusiwa kuanza kutoa matangazo..usiwe mvivu sana just go to their website usome taratibu za TCU usipende kutafuniwa kila kitu mtoto wa kiume
 
ww mpuuzi na ww ni part ya matapeli kina esnath na dr kanjanja mnzava??jibu hoja ya msingi?by the way mshakusanya sh ngapi so far za interview??shame on you....chuo kitakaa along bonyokwa??kwa eneo lipi hasa?????akili yako ndogo haiwezi kuongoza watu tulioerevuka mpuuzi ww..je wajua taratibu za kuanzisha chuo??na eneo kiasi gani linalohitajika???

mnh dada umekasirika kweli.. Ila jitahidi kupunguza ukali wa maneno utajisababishia 'ban' bure dada angu..halafu akosekana mtu wa kuwapa zauso live as u are doing...
 
Huyo Vampire Vegetarian nahisi ana mtindio wa ubongo na taahira ya akili.wakati huku wadau wana maswali yanayohitaji majibu yeye alikuwa zake MMU anajifunza "Faida 16 za kufanya mapenzi kila siku!".
Pumbavu zake.
 
Last edited by a moderator:
mnh dada umekasirika kweli.. Ila jitahidi kupunguza ukali wa maneno utajisababishia 'ban' bure dada angu..halafu akosekana mtu wa kuwapa zauso live as u are doing...

Hay ngoja nipunguze,ila ujumbe wameupata..na image ya the so called chuo ishaharibika!!!!!wapiiiiiiiiii mamaa Esnath,Vampire n the like???chezea JF
 
Kwanza hamna chuo cha kimataifa wanatumia e-mail za yahoo au gmail or whatsoever, chuo kinatakiwa kuwa na registerd academic domain yani mfano www.university.ac.tz .

Hawa ni email address seekers, nowadays kuna kitu kinaitwa e-mail marketing, what they do ni kupata as much email addresses as possible wazijaze in their database later wanaenda kuuza na kupata hela, mfano wa hawa jamaa ni Mikono Business Consult watu wengi sana wanapata email za matangazo ambazo sio spam kupitia kwa hawa majamaa.

Naomba kuwakilisha.
 
halafu mijutu inayopinga yote ipo tayari kwenye nafasi zao waacheni shida watume maombi

Maswali yanayoulizwa ni ya msingi. Ni jukumu la wahusika kutoa maelezo ya kina pasipo kutumia JAZBA wala HOJA YA NGUVU ili kuondoa mashaka yaliyokwisha bainishwa.

Ni kwa roho safi TU.
 
halafu mijutu inayopinga yote ipo tayari kwenye nafasi zao waacheni shida watume maombi

Lakini ukumbuke hao walio tayari kazini ndo wenye kugharimia masomo ya watoto na ndugu zao wanaotafuta hizo nafasi za kusoma. Usiwapuuze hata kidogo!
 
lakini ukumbuke hao walio tayari kazini ndo wenye kugharimia masomo ya watoto na ndugu zao wanaotafuta hizo nafasi za kusoma. Usiwapuuze hata kidogo!
hili ni tangazo la kazi sio la usajili wa wanafunzi
 
maswali yanayoulizwa ni ya msingi. Ni jukumu la wahusika kutoa maelezo ya kina pasipo kutumia jazba wala hoja ya nguvu ili kuondoa mashaka yaliyokwisha bainishwa.

Ni kwa roho safi tu.
ni kweli mkuuu
 
Kwanza hamna chuo cha kimataifa wanatumia e-mail za yahoo au gmail or whatsoever, chuo kinatakiwa kuwa na registerd academic domain yani mfano www.university.ac.tz .

Hawa ni email address seekers, nowadays kuna kitu kinaitwa e-mail marketing, what they do ni kupata as much email addresses as possible wazijaze in their database later wanaenda kuuza na kupata hela, mfano wa hawa jamaa ni Mikono Business Consult watu wengi sana wanapata email za matangazo ambazo sio spam kupitia kwa hawa majamaa.

Naomba kuwakilisha.

HAO MKONO WAnaniuzii na emails zao
 
Are you trying to market the so called Chuo ambacho hakitambuliwi na TCu??acha utapeli ww//hata KIU ilitangazwa sana kabla ya kusotea kutambuliwa na TCU na wengi walipoteza muda na pesa kusomesha watoto wao..peleken utapeli wenu huko..so what ITV wakitangaza???do u think wana duty ya kujua kwamba hiki chuo ni magumashi or not??ndo mana TCU wakiona tu hayo magumashi wanatoa taarifa gazetini kuwa hakitambuliwi..ITV wao ni biashara hawawez kataaa na hawana burden ya kuthibithisha kama halali or not..hata ww ukipeleka tangazo lako la ndoa(ilhal una mke)watakutangazia tu...au mkuu upeo wako wa kufikir umeishia hapo??shame on you kutaka kuwaingiza hasara watanzania wenzenu..jamani hivi vyuo vya uchocgoron kamwe msivikubali kabisaaaaaa..kwanza cho gani kitakuwa Kimara Bonyokwa??ebooooooooooo
duh kaka umekunya saana
 
Haya mama esnath leo mboona umekimbia???jibu hoja lkwamba mnatak hela za ushaili thru CRDb???shame on you the so called" mama".... u do not deserve kuitwa mama,sorry
hahahaaaaa! my little sis, bingwa wa kudandia gari kwa mbele,it is true, wanacharge interview fees, ukiona umeitwa kwa interview just know you are almost among the list,ningekushauri tu, uende mpaka hapo chouni utapata information zote, kwa kukusaidia zaidi, wewe unadodosha porojo wenzio wameanza kula mshahara.usipende kukurupuka na kucriticize kila unachosikia, ni nauli ya sh 300 tu kutoka mjini, labda kama unakaa boko.have a nice day mtoto wa mama, unangoja mjomba akutafutie kazi eeh!
 
ww mpuuzi na ww ni part ya matapeli kina esnath na dr kanjanja mnzava??jibu hoja ya msingi?by the way mshakusanya sh ngapi so far za interview??shame on you....chuo kitakaa along bonyokwa??kwa eneo lipi hasa?????akili yako ndogo haiwezi kuongoza watu tulioerevuka mpuuzi ww..je wajua taratibu za kuanzisha chuo??na eneo kiasi gani linalohitajika???
hee! nilishakwambia, usijitengenezee format zako za kupata kazi, kila shirika lina taratibu zake,hupendi kufuatilia mwenyewe, unapenda hearsay.ni utaratibu wa chuo kuwa kila anayeitwa kwa interview anapaswa, mark me, hawaongelei kusajili wanafunzi, wanaongelea habari ya tangazo la kazi,bingwa wa kuerevuka, hebu iambie JF ni chuo gani basi hata cha secretarial ulichowahi kufungua?????? na kuna sheria gani kwamba kimara bonyokwa hapatakiwi kuanzisha chuo.Any way sikulaumu sana, umeshazoe spoon feeding hata na kazi si utatafutiwa na baba mdogo....shangazi naniliu....na uncle so and so.Wenye shida ya kazi, apply.nawatakia kila la heri.
 
Me nimeapply ndugu yangu so I wait 4 the feedback
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom