masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 15,679
- 12,364
Naombeni ushauri kuhusu hii gari naenda kuilipia leo. Sina ufahamu wowote nimependa space tu.
Na mizigo dearSiyo mtaalam wa magari naona linafanana na Alphard, unalinunua kwa ajili ya family nini
Nipo na davina ndo ananisaidiaHongera,ipoje tuione.
Sisitiza wasichomoe tyres na radio