Nadhani hiki ndicho kilichoogopwa kusemwa na CCM leo peacock hotel

Mkuu hata mm huu waraka nimeutilia shaka....kwanza kiswahili sio fasaha...alafu mbona mwishoni unasema katibu wa almashauri kuu ya taifa itikadi na uenezi...kwani hcho ndo cheo cha nape
Kumbe hujawajua hawa watu? wanatunga habari wenyewe wanauchangia wenyewe hawajifunzi kwa wale member waliojiona masuperstaa humu wakaenda kwenye kura za maoni kwa mbwembwe wakarudi kimyakimya wamebwagwa.wanatumia nguvu sijui hawajui wapiga kura awapo humu?!!!!
 
Kama ni Nape ndio kaandika haya, alimuuliza Katibu Mkuu wake kuhusu mali zake nje ya nchi!?
 
Back
Top Bottom