NANGA WA KWATA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 347
- 232
NACTE wamebabaisha kweli kwa sababu wameshindwa kuweka hata takwimu ya walioapply idadi yao na walioachwa idadi yao na waliochaguliwa pia wametumia sifa gani kuwachagua.
Hii nchi imepoteza mwelekeo kwa upande wa elimu full chenga hata guidebook zao hazina muongozo wa kueleweka. Mfano: Ualimuna kozi ambazo zipo wazi
Hii nchi imepoteza mwelekeo kwa upande wa elimu full chenga hata guidebook zao hazina muongozo wa kueleweka. Mfano: Ualimuna kozi ambazo zipo wazi