Nachukia sana mwanamke anayetoa mimba

The Initiator huru

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
1,539
1,754
Binafsi kuna wanawake nimewahi date nao na wametoa mimba yangu

Wa kwanza niliishi nae kama mke pindi nimemaliza chuo nilimpata field then nikamsaundisha akanikubalia, tulikuwa tukitumia condom mara nyingi wakati wa kugegedana but tulikuja acha baada ya kupima. Alivyopata mimba hakuniambia ila aliitoa kwa ushawishi wa rafikia ake .Lakini yeye alikuja kuniambia imeharibika but nina uhakika aliichomoa coz hata rafiki ake aliwahi fanyaga hivyo

Cha ajabu mpaka leo hii hana uwezo wa kupata mimba na huwa anajutia sana.

Wa pili: Huyu ni single mother yeye alipata mimba mara mbili na zote amepiga chini bila mimi kujua ya kwanza nilijua kwani aliniambia na mimi kumjibu kuwa niko tayari kulea lakini aliitoa kwa kigezo hataki tena kuzaa. Mara ya pili aliichomoa bila mimi kujua na kuniambia imeharibika

Watatu: Huyu ni mke wa mtu nilichepuka nae, alikuwa ananipenda sana , ila cha ajabu alikuwa hataki condom kabisa, hivyo tulipima mara kadhaa kisha nikamgegeda pasipo kutumia condom then akapata ujauzito naye pia aliichomoa kisha akaja niambia imeharibika

Embu nawe mdau ongezea kisa chako
 
Hakuna cha kukufanya wewe mkuu uchukie,elewa ke ana haki ya kutunza au kutoa mimba maana inakua ndani ya mwili wake sio wa kwako,kwa hiyo kuitunza au kuitoa ni uamuzi wake.
 
Binafsi kuna wanawake nimewahi date nao na wametoa mimba yangu

Wa kwanza niliishi nae kama mke pindi nimemaliza chuo nilimpata field then nikamsaundisha akanikubalia, tulikuwa tukitumia condom mara nyingi wakati wa kugegedana but tulikuja acha baada ya kupima. Alivyopata mimba hakuniambia ila aliitoa kwa ushawishi wa rafikia ake .Lakini yeye alikuja kuniambia imeharibika but nina uhakika aliichomoa coz hata rafiki ake aliwahi fanyaga hivyo

Cha ajabu mpaka leo hii hana uwezo wa kupata mimba na huwa anajutia sana.

Wa pili: Huyu ni single mother yeye alipata mimba mara mbili na zote amepiga chini bila mimi kujua ya kwanza nilijua kwani aliniambia na mimi kumjibu kuwa niko tayari kulea lakini aliitoa kwa kigezo hataki tena kuzaa. Mara ya pili aliichomoa bila mimi kujua na kuniambia imeharibika

Watatu: Huyu ni mke wa mtu nilichepuka nae, alikuwa ananipenda sana , ila cha ajabu alikuwa hataki condom kabisa, hivyo tulipima mara kadhaa kisha nikamgegeda pasipo kutumia condom then akapata ujauzito naye pia aliichomoa kisha akaja niambia imeharibika

Embu nawe mdau ongezea kisa chako
sikuizi wadada kutoa mimba ni fashion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom