Nabii asiekubalika nyumbani

Ezekiel kamwaga ni watu wenye busara na hakima tu wenye uzalendo wa kweli ndo wanaweza kukubali anachofanya huyu zzk au maada ulioandika mfano vijana wanakwambia ubora machafuko kuliko amani wanaona Sudan ya kusini
Mtakesha sana kumsafisha mitandaoni lakini mtakwama tu!.. Zitto ni msaliti... Zitto ni fisadi!
 
huo ndio ukweli bro kamwaga,japo ni mchungu kwa wenye chuki dhidi ya kijana mwenzetu,naunga mkono hoja yako mia ya mia,.nzito ni kichwa bana tukubaki tu,huyu jamaa anaakili sana na ni mbunge mstaarabu cjapata kuona.
nimjenzi mzuri sana wa hoja za msingi na zenye nia ya wazi ya kulikomboa taifa letu,.nawhimiza na kuwaomba vijana wenzangu tumuunge mkono maana hakuna wa kufananishwa na nzito.
Mti wenye matunda mazuri, kupopolewa ndiyo jadi yake! Bravo Zitto.
Kwa nini watetezi na mashabiki wake muwe pia mashabiki wa CCM?
 
zitto jembe la ukweli,nazikubali sana siasa za huyu jamaa,tatizo wabongo uelewa watu juu ya siasa dunian ni mdogo sana,kutofautina kimtazamo hakufanyi watu wagombane,wasiwe marafiki ilihali kuna vitu vingine wanafanana.
eg zito kuwa mbunge wa cdm hakumfanyi acwe na ukaribu na mwigulu nchemba kwa kuwa tofauti zao mtazamo tu wa siasa nzito anaamini ktk cdm mwigulu katika ccm,but wote wabunge vijana,wasomi na wanuchumi,so wanaweza kukutana wakaongea mambo ya masomo pengine mmoja wao anataka kujiunga na chuo flan akitaka ushauri kwa mwingine,pia ni vijana,vijana wanamambo ya kushauriana kama vijana.
Hivi wewe unawajua vijana? Vijana wana sura zilizokomaa na kuwa na vipele kama Zitto na Mwigulu?!
 
Subirini kuaibika na zzk wenu. CDM inazidi kuendelea na inakubalika kama unavyoona bungeni sasa bila zzk. ambaye ameanza kutoweka katika siasa.
 
Sio magamba tu hata magwanda mnamkubali kiaina.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
Jack ile staili ya uchukuaji pesa kule CRDB mwaka jana ilinitisha kidogo halafu hii isije ikabumburuka vyombo vya habari vipo makini kweli sasa hivi" Anajibiwa na Bwana Zoka kuwa "Tunazo njia nyingi sana ambazo si TAKUKURU wala polisi wanaoweza kubaini, tusikilize sisi, tutakacho kuambia ujue ni salama, Haya Mr (Zitto) wewe unayajua mazingira vizuri katika nchi moja ya Ulaya?, au unaweza kutafuta mtu unae mwamini huko ili atumiwe yeye hiyo pesa na awe wa kuaminika ili tumtumie kwa vipindi hivi vyote, kisha uifuate huko au uangalie mwenyewe njia sahihi ya kuichukua huko" Suala la kumpata mtu Ulaya lilionekana kama zito kidogo kwa Zitto, kwani aliomba wawasiliane kesho yake ili awe na jibu la uhakika.
 
Huwezi kuliziba jua na ungo kaka aliepewa kapewa hata ukimchukia vip jamaa nijembe mzalendo mwenye nia na moyo wakuwatumikia watanzania
Kitila anasema .....Ustahimilivu: yaliyotajwa katika‘d’ na ‘e’ hapo juu yanaashiria tunayemtaka si mstahimilivu sana sifa ambayo inahitajika sana kwa kiongozi.
Rejea waraka wa usaliti wa mapacha watatu!
 
Huwezi kuliziba jua na ungo kaka aliepewa kapewa hata ukimchukia vip jamaa nijembe mzalendo mwenye nia na moyo wakuwatumikia watanzania

Usimjadili Zitto, jadili hoja zake!

Haya timizeni maagizo ya kitila mkumbo katika waraka wa usaliti.. Rejea waraka wa USALITI wa mapacha watatu huu hapa: ....
Nini tutakuwa tunakifanya sasa? Tutahakikisha tuko busy kupost mambo mema na mazuri yatakayokuwa yakifanywa na MM kila wakati na kuzidi kusambaza sifa zake njema kila inapotokea nafasi. Atakayefanya kazi hiyo ni sisi wengine wala si yeye!
Pia tutahakikisha kila post ya kumchafua inapatiwa majibu bila kutumia ID yake inayojulikana. Ni vema aidha akatupatia majibu na sisi kuyapost ama afungue ID mpya kabisa ambazo hazijawahi kuwepo kwenye mitandao halafu ndo awe anazitumia kujibu lakini kwa kuzingatia tuliyokwishayazungumza hapo juu yaani kutofanya kwa emotion na kuepuka jazba lakini pia kushauriana na watu wa karibu kabla ya kutoa majibu kwa jambo lolote linalomhusu.
 
Zitto Kabwe; Nabii asiyekubalika nyumbani?
Ni Zitto ambaye amechochea vijana wengi kujiunga na siasa katika miaka ya karibuni. Miaka kumi iliyopita, Bunge lilikuwa ni taasisi ya wastaafu na wateule wachache waliodumu kwa miaka mingi.

Hongera sana kwa kutimiza maagizo ya Kitila Mkumbo kama yanavyosomeka kwenye waraka wa USALITI!:
Nini tutakuwa tunakifanya sasa? Tutahakikisha tuko busy kupost mambo mema na mazuri yatakayokuwa yakifanywa na MM kila wakati na kuzidi kusambaza sifa zake njema kila inapotokea nafasi. Atakayefanya kazi hiyo ni sisi wengine wala si yeye!
Pia tutahakikisha kila post ya kumchafua inapatiwa majibu bila kutumia ID yake inayojulikana. Ni vema aidha akatupatia majibu na sisi kuyapost ama afungue ID mpya kabisa ambazo hazijawahi kuwepo kwenye mitandao halafu ndo awe anazitumia kujibu lakini kwa kuzingatia tuliyokwishayazungumza hapo juu yaani kutofanya kwa emotion na kuepuka jazba lakini pia kushauriana na watu wa karibu kabla ya kutoa majibu kwa jambo lolote linalomhusu.
 
Mtakesha sana kumsafisha mitandaoni lakini mtakwama tu!.. Zitto ni msaliti... Zitto ni fisadi!

Hata kama zitto angekuwa ccm, angewageuka hata wao pia. Hiyo ni moja ya itikadi zake yaani anapenda aonekane tofauti na wenzake ili aonekane ni bora kuliko wenzake hata kama amekalia kuti kavu. Huyo ndiye Zitto.
 
Ana hakiri, mpambanaji, anajua anachokifanya, mtetezi wa wanyonge, hapendi kuonewa, Zitto huwezi kumfananisha na Mbowe au babu slaa!
Wafuasi wengi wa Zitto elimu ndogo na Ajira hawana ndiyo maana wanabangaiza kusaka tonge!... Hivi hata neno,"AKILI" lina ugumu gani kuandika?
Suala la Mbowe na Slaa na "UBABU wake ni msimamo wa Zitto! Angalia waraka wa usaliti:
Kundi hili lilikuwa na mipango mingi sana, lakini lengo/shabaha/dhamira ilikuwa ni moja tu nayo ni kukidhohofisha Chadema kwa manufaa ya ccm. Uthibitisho wa lengo la kundi hili unabainishwa katika mawasiliano ya simu kati ya Zitto na wanakikundi hicho, katika ujumbe wa maandishi (sms) aliousambaza kwa wanakikundi hiki Zitto anasisitiza umakini ili wasije kujulikana na Chama, vilevile anawasisitiza kukisajili kikundi hiki ikiwa ni pamoja na kufungua akaunti ya benki ya kikundi hiki,
Ujumbe mwingine aliousambaza tarehe 30/11/2012 saa 08:21 kwa wafuasi wa kundi hili kupitia namba unasema, “Ni lazima tukidhibiti hiki kibabu vile vile lazima tumng’oe Mbowe, Tunadanganyana tu kuwa chadema itaingia ikulu, kwanza simamieni harakati za kushinikiza kadi ya kibabu irudishwe ccm”.

Cha ajabu maneno haya haya yamo katika waraka wa Nape dhidi ya Slaa!.
 
Zitto goo Zitto goo! Acha waendelee kufanya biashara ya mapera.
 
Hata kama zitto angekuwa ccm, angewageuka hata wao pia. Hiyo ni moja ya itikadi zake yaani anapenda aonekane tofauti na wenzake ili aonekane ni bora kuliko wenzake hata kama amekalia kuti kavu. Huyo ndiye Zitto.

Mkuu huo ndio ukweli hata huko ktk chama kipya walichoazisha WATAMKOMA kwa tabia zake! time will tell
 
Jack ile staili ya uchukuaji pesa kule CRDB mwaka jana ilinitisha kidogo halafu hii isije ikabumburuka vyombo vya habari vipo makini kweli sasa hivi” Anajibiwa na Bwana Zoka kuwa “Tunazo njia nyingi sana ambazo si TAKUKURU wala polisi wanaoweza kubaini, tusikilize sisi, tutakacho kuambia ujue ni salama, Haya Mr (Zitto) wewe unayajua mazingira vizuri katika nchi moja ya Ulaya?, au unaweza kutafuta mtu unae mwamini huko ili atumiwe yeye hiyo pesa na awe wa kuaminika ili tumtumie kwa vipindi hivi vyote, kisha uifuate huko au uangalie mwenyewe njia sahihi ya kuichukua huko” Suala la kumpata mtu Ulaya lilionekana kama zito kidogo kwa Zitto, kwani aliomba wawasiliane kesho yake ili awe na jibu la uhakika.

Akili za kuambiwa changanya na zako!
 
Back
Top Bottom