Nabadilidha Touch screen za Huawei 8650 sonic na ideos bei ni 60000/=

sirleondavid

JF-Expert Member
Sep 30, 2012
377
25
Huawei Sonic 8650

Kwa wale wenye matatizo ya touch screen za simu zao aina ya
Huawei Sonic 8650.
Touch screen replacements zinapatikana sasa kwa gharama ya
60000/= pamoja na ufundi.

Tupo kariakoo Mtaa wa uhuru karibu na Akiba commercial bank.

mawasiliano:
0715353108
0756144060
mwamalekela@gmail.com
 
kuhusu idevices je nna ipod touch 4G imepata crackes kwenye kioo,hii vipi?

hapana kaka ipods sina replacement yake. coz zipo chache sana ktk demand.
bei yake ni 180,000/= zinapatikana kwa order maalum. pia unatakiwa utoe advance nusu bei.

Itafika wiki moja baada ya kuplace order.
 
Back
Top Bottom