Naapa kwa Mungu mkuu kuwa nitaendelea kuwa shabiki wa Jembe Mtatiro kuliko legelege Mnyika!

Jun 8, 2011
52
19
Kumekuwa na mjadala mzito juu ya uwezo wa Julius Mtatiro na John Mnyika, natoa changamoto watu watafute ukweli wa hili ila mwishowe watakuja kubaini kuwa Mtatiro anaweza kujenga hoja na ku-take risk anaweza kufanya maamuzi magumu na ya hatari tofauti na Mnyika mwenye uwezo wa kujenga hoja lakini ni mwoga sana kuchukua uamuzi mzito au wa hatari.

Huu ni ukweli hata kama nitakuwa nimewaudhi watu fulani ila ukeli sharti usemwe bila kupindisha neno kuwa Mtatiro ni jembe natamani sana uchaguzi ufanyike leo kisha mchuano wa Mtatiro VS Mnyika urudiwe kisha tupime hoja!
 
Ww acha kufikiri kwa kichwa cha chini mtatiro na mnyika, huwez kuwafanansha Mnyika possess mind stability ambayo ni sifa kubwa na yenye kumtambulsha kiongoz mzuri, lakini ndugu yangu mtatiro hana mind stability ni mtu wa kukurupuka nakutumia force.
 
Unashindanisha kifo na usingizi mathalan vitakuwa tofauti tu. Mtatiro anatumia siasa za kufunga ndoa na CCM wakat Mnyika anatumia siasa za kufundisha watz wanyonge juu ya mabaya ya CCM.
 
Back
Top Bottom