Naamini Simba ndiyo itachukua ubingwa ligi kuu ya NBC Tanzania Yanga nafasi ya pili

Wadau hamjamboni nyote?

Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania

Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.

Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.

Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
Mzee amka ukajitawaze
 
Utabiri umeota mabawa ukaruka !
 
Back
Top Bottom