Mtu unaenda grocery store lakini unavaa kaa unaenda klabu. Umevaa kimini na unaonesha mpasuo/ mgawanyo (cleavage) wa matiti. Matokeo yake mmenifanya nigeuke huku natembea hadi nikajigonga kwenye nguzo ya zege. Sasa hivi nina nundu hapa pembeni ya paji langu la uso kisa mapaja na matiti. Nimechukia sana. Sijui kwa nini mnatufanyia hivyo.....:mad2:
duh hii hatari kubwa, hata mimi yananikutaga....kuna siku niligonga gari kwa haya haya mamboMtu unaenda grocery store lakini unavaa kaa unaenda klabu. Umevaa kimini na unaonesha mpasuo/ mgawanyo (cleavage) wa matiti. Matokeo yake mmenifanya nigeuke huku natembea hadi nikajigonga kwenye nguzo ya zege. Sasa hivi nina nundu hapa pembeni ya paji langu la uso kisa mapaja na matiti. Nimechukia sana. Sijui kwa nini mnatufanyia hivyo.....:mad2:
na nyie mmezidi hamchoki kukodoa mimacho? lol
Tunakodoa mimacho kwa sababu za kiafya...:bump2:na nyie mmezidi hamchoki kukodoa mimacho? lol
Masista humu ndani hebu tuambieni ukweli; huwa mnaweza kupatwa na mshawasaha kama huu mkituona tumejiachia vifua nn; ilimradi tu mkachanganyikiwa na msijue mlifanyalo kama nduguyetu?
Pole kiongozi. Maumivu yakizidi, muone daktari.. Mueleze kisa kizima usimfiche kitu.
Mtu unaenda grocery store lakini unavaa kaa unaenda klabu. Umevaa kimini na unaonesha mpasuo/ mgawanyo (cleavage) wa matiti. Matokeo yake mmenifanya nigeuke huku natembea hadi nikajigonga kwenye nguzo ya zege. Sasa hivi nina nundu hapa pembeni ya paji langu la uso kisa mapaja na matiti. Nimechukia sana. Sijui kwa nini mnatufanyia hivyo.....:mad2:
Dreamliner tielezee biala kuuma nyie hayawakuti?