Na nyinyi mmezidi bana...

Mtu unaenda grocery store lakini unavaa kaa unaenda klabu. Umevaa kimini na unaonesha mpasuo/ mgawanyo (cleavage) wa matiti. Matokeo yake mmenifanya nigeuke huku natembea hadi nikajigonga kwenye nguzo ya zege. Sasa hivi nina nundu hapa pembeni ya paji langu la uso kisa mapaja na matiti. Nimechukia sana. Sijui kwa nini mnatufanyia hivyo.....:mad2:

Na wewe kila kitu mpaka ukitolee macho hahahah ...ndo faida yake hiyo pole sana NN
 
Mtu unaenda grocery store lakini unavaa kaa unaenda klabu. Umevaa kimini na unaonesha mpasuo/ mgawanyo (cleavage) wa matiti. Matokeo yake mmenifanya nigeuke huku natembea hadi nikajigonga kwenye nguzo ya zege. Sasa hivi nina nundu hapa pembeni ya paji langu la uso kisa mapaja na matiti. Nimechukia sana. Sijui kwa nini mnatufanyia hivyo.....:mad2:
duh hii hatari kubwa, hata mimi yananikutaga....kuna siku niligonga gari kwa haya haya mambo
 
Kipi kilikuwa kipya katika hayo uliyokuwa ukikodolea jamani?! Ama unatafuta mwenza? Kama hujaoa, well na wao hawajaolewa, wanatafutana may be. But kama umeoa, cha ajabu kilikuwa nini hapo? Mwe!
 
Hahahaha mzee shingo ilikuwa feni naona hilo toto lilikuwa murua kama la Kanda ya ziwa,
Ungesema nae tu akakukande hilo linundu Komredi.
 
Mkuu pole sana....au ulisoma hii article kabla ya ajali kukukumba?

attachment.php
 
Attachments

  • eyefull.jpg
    eyefull.jpg
    60.4 KB · Views: 151
na nyie mmezidi hamchoki kukodoa mimacho? lol

Kazi ya macho si kuona(hasa vitu vizuri) jamani.....Labda yangekuwa na pazia ingesaidia,ama tungekuwa twatembea tumeyafumba(kitu ambacho hakiwezekaniki)............Vitu vingine havikwepeki kuviangalia bana,ngumu sana
 
Masista humu ndani hebu tuambieni ukweli; huwa mnaweza kupatwa na mshawasaha kama huu mkituona tumejiachia vifua nn; ilimradi tu mkachanganyikiwa na msijue mlifanyalo kama nduguyetu?
 
Swali zuri sana hili........Wapo humu watajibu....
 
Pole kiongozi. Maumivu yakizidi, muone daktari.. Mueleze kisa kizima usimfiche kitu.
 
Hivi tatizo ni hao mabinti au ni wewe uliyeweka shingo feni,amcho bulb..Nadhani ni uchu unaokusumbua wal sio hao mabinti,ha ha ha!
 
Mtu unaenda grocery store lakini unavaa kaa unaenda klabu. Umevaa kimini na unaonesha mpasuo/ mgawanyo (cleavage) wa matiti. Matokeo yake mmenifanya nigeuke huku natembea hadi nikajigonga kwenye nguzo ya zege. Sasa hivi nina nundu hapa pembeni ya paji langu la uso kisa mapaja na matiti. Nimechukia sana. Sijui kwa nini mnatufanyia hivyo.....:mad2:

Kwanini uangalie in the first place? Hayo ni matatizo ya kujitakia mwenyewe na wala usiwalaumu akina dada wa watu.
 
Dreamliner tielezee biala kuuma nyie hayawakuti?

Masikini _Jeuri Baba!!! Mwanamme rijali lazima akutane na hiyo kitu.. Afadhali ya Mheshimiwa Nyani Ngabu alikuwa anatembea kwa miguu.. Angekuwa anaendesha gari, saa hizi tungekuwa tunazungumza tofauti.
 
Mtu unaenda grocery store lakini unavaa kaa unaenda klabu. Umevaa kimini na unaonesha mpasuo/ mgawanyo (cleavage) wa matiti. Matokeo yake mmenifanya nigeuke huku natembea hadi nikajigonga kwenye nguzo ya zege. Sasa hivi nina nundu hapa pembeni ya paji langu la uso kisa mapaja na matiti. Nimechukia sana. Sijui kwa nini mnatufanyia hivyo.....:mad2:

Pole..Siku nyingine usije ukaanguka kabisa mana mitego haiishi!!
 
Pole sana ndugu siku nyingine ujaribu japo kukemea katika jina la Yesu....maana la sivyo ipo siku utajikuta umeyashika bila kujijua na kuishi kupata kesi..."Wanaume tumeumbwa matesoo....." Marehemu TX William.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom