Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 478
Ooh mkuu wa KAGONGWA, hbr za siku? Vp mkuu wenu wa wilaya alisharudi?? Maana niliona kibao hapo "MKUU WA WILAYA KAHAMA"Huku kwetu Kagongwa hatuvijui hivyo mkuu wilbert
Ooh mkuu wa KAGONGWA, hbr za siku? Vp mkuu wenu wa wilaya alisharudi?? Maana niliona kibao hapo "MKUU WA WILAYA KAHAMA"
Huku kwetu Kagongwa hatuvijui hivyo mkuu wilbert
burger ya kihehe kabisa hii.Mkuu nasikia Kahama nyuma Kagongwa mbele! Je ni kweli!