n jnc gan naweza postpone mwaka wa chuo!

the horticulturist

JF-Expert Member
Aug 24, 2012
1,959
1,894
nimechaguliwa kujiunga na bsc in it pale ifm,ckujpng kwa ajil ya hyo kozi so hata mkopo ckuomba c mnafaham walichofanya tcu kwa baadh ya watu!!nahtaj n postpone mpaka mwakan ili niombe mkopo tu na c kuhangaika na tcu,n tumie utaratibu gan?kpnd cha registration n hz week 2 za mwanzo za huu mwez wa kumi.
 
Kila chuo kinautaratibu wake, nenda addmision office kaulizie. Ingekuwa ud ningekuelekeza
 
ndg yangu m niko Arusha mbya zaid niko kazn kupata ruhusa inshu ndg yangu

Mambo ya chuo ni very senstive kijana, unatakiwa wewe mwenyewe pale chuonî upewe utaratibu wa kufanya ambapo ni pamoja na kuandika barua ya kuomba kuahirisha mwaka ambayo utatakiwa kuipitisha katika ofisi kadhaa hapo chuo then ukikubaliwa utapewa barua rasmi ya kukukubalia ombi lako. don't think of sending someone to do it on your behalf.
USHAURI: Unapoandika mada ambayo ni serious jitahidi kuwa serious pia kwa namna ya uandishi wako.JF inatumiwa na watu wa rika na kada mbalimbali.Unaweza kukosa msaada wa muhimu kutokana na uwasilishaji wako. Kila la heri
 
baba V nahc ndivyo nilivyo napenda kuwa cmple ila cna maana ya kwamba hili s suala muhimu kwangu ndugu yangu!i will do as how u have talled me!thanx much bro na nilijua hapa jf nitapata ushaur mzuri maana ninahakika kuna waungwana
 
Talled?is it past tense ya tell au ?correct word ni told ,please you have to re-check your tense before posting.
 
Back
Top Bottom