hahahahahahahaha wako wengi
kuna mmoja anazurura maeneo ya ubungo
sijui hata kama anakazi
tz immigration wanasnzia tuu
ingekuwa hata hapo kenya
wangekiona cha mtemakuni
kumbe ukipanda bodaboda unakuwa choka mbaya eeh!!!
mzungu au zeruzeru albino
Huyo anaezurura inawezekana kalosti kweli.
Lakini pia usishangae miaka miwili baadaye ukaona kaandika bonge la kitabu kuhusu Tanzania au kafanya project la ajabu, hawa wengine wakiwa katika fact finding mission wako radhi hata kukaa kama ombaomba barabarani, halafu unakuta mtu anatoka na bonge la thesis/ kitabu kuhusu utamaduni wa watanzania kuhusu ombaomba etc. Utaona kumbe jamaa alikuwa na mahesabu yake.
Huyo mwenye kupanda pikipiki anaweza kuwa yuko katika a shoestring budget, ana malengo yake, au anaweza kuwa conscious sana na mambo ya mazingira, hatari gari litakalo pollute, au anaweza kuwa kaisoma system ya bongo kajua ukiwa na pikipiki unapeta zaidi kwenye foleni etc etc, huwezi kusema mtu kalosti kwa sababu anapanda pikipiki, wengine ndio furaha yao.
Nimrod Mkono na mibenz/ mihela yake yote kuna time anajikumbushia kwenye bikes zake, sasa naye kalosti?
Duh kumbe hata hawa jamaa nao choka mbaya....
Pia kwani wazungu ndio miungu kuwa wao hawana dhiki
Hivi wabongo sisi tumerogwa?..Na hizi mentality za namna hii ndo maana hatutakuja tuendeleee..mtu kupanda pikipiki ni kuchoka?.Hivi huoni kuwa wakati mwingine boda boda ni more convenient kuliko gari hasa hsa kwenye foleni kama ya Dar?
Duh kumbe hata hawa jamaa nao choka mbaya....
Naona utoto tu wa mtoa mada hapa...
Wale wale...mimi kama natoka LocationA kwenda LB natumia 15 mins kwa gari wakati huo huo natumia <15mins kwa boda boda au baiskeli,,,I think i'll go with the latter!lakini kutumia usafiri wa pikipiki si dalili ya kuchoka, au unaonaje ndugu?