Mzungu kachoka ndani ya bodaboda

maisha humpiga yeyote yule bila kujali rangi, kabila, dini au taifa....kwani huko uingereza hakuna masikini? tuacheni ushamba.....
 
hahahahahahahaha wako wengi
kuna mmoja anazurura maeneo ya ubungo
sijui hata kama anakazi
tz immigration wanasnzia tuu
ingekuwa hata hapo kenya
wangekiona cha mtemakuni

Huyo anaezurura inawezekana kalosti kweli.

Lakini pia usishangae miaka miwili baadaye ukaona kaandika bonge la kitabu kuhusu Tanzania au kafanya project la ajabu, hawa wengine wakiwa katika fact finding mission wako radhi hata kukaa kama ombaomba barabarani, halafu unakuta mtu anatoka na bonge la thesis/ kitabu kuhusu utamaduni wa watanzania kuhusu ombaomba etc. Utaona kumbe jamaa alikuwa na mahesabu yake.

Huyo mwenye kupanda pikipiki anaweza kuwa yuko katika a shoestring budget, ana malengo yake, au anaweza kuwa conscious sana na mambo ya mazingira, hatari gari litakalo pollute, au anaweza kuwa kaisoma system ya bongo kajua ukiwa na pikipiki unapeta zaidi kwenye foleni etc etc, huwezi kusema mtu kalosti kwa sababu anapanda pikipiki, wengine ndio furaha yao.

Nimrod Mkono na mibenz/ mihela yake yote kuna time anajikumbushia kwenye bikes zake, sasa naye kalosti?
 
Kwa ile foleni bodaboda ndio muokozi wa kuwahi unakokwenda haswa jijini Dar.Nilifikiri tutaongelea ujinga alioufanya huyo abiria ya kuto vaa kofia yenye usalama wake
 
Huyu sio kocha wa Yanga Papic kweli? kweli Yanga wamefulia.
 
Kumbe tunaopandaga bodaboda tunaonekana tumechoka ee!!! Du nilikuwa sijui jamani!!!!
 
Huyo anaezurura inawezekana kalosti kweli.

Lakini pia usishangae miaka miwili baadaye ukaona kaandika bonge la kitabu kuhusu Tanzania au kafanya project la ajabu, hawa wengine wakiwa katika fact finding mission wako radhi hata kukaa kama ombaomba barabarani, halafu unakuta mtu anatoka na bonge la thesis/ kitabu kuhusu utamaduni wa watanzania kuhusu ombaomba etc. Utaona kumbe jamaa alikuwa na mahesabu yake.

Huyo mwenye kupanda pikipiki anaweza kuwa yuko katika a shoestring budget, ana malengo yake, au anaweza kuwa conscious sana na mambo ya mazingira, hatari gari litakalo pollute, au anaweza kuwa kaisoma system ya bongo kajua ukiwa na pikipiki unapeta zaidi kwenye foleni etc etc, huwezi kusema mtu kalosti kwa sababu anapanda pikipiki, wengine ndio furaha yao.

Nimrod Mkono na mibenz/ mihela yake yote kuna time anajikumbushia kwenye bikes zake, sasa naye kalosti?

Nimewahi kukutana na architect mmoja mzoefu, ambae ameandika kitabu pamoja na kuweka picha alizochora za watu na biashara kwenye slum ya Nairobi. Nilipomuuliza alifanyaje hiyo shughuli yake? Alisema kila siku kwa miezi 6 alikuwa akitafuta kona moja kwenye slum, akipiga story na watu na kuanza kuchora. Anasema alikuwa mchafu chafu, akiendana na mazingira ya huko kwenye slums maana anaamini angelikuwa anajiweka kwenye matawi ya juu watu wasingelitaka kumhadithia mishe mishe zao mjini, na wasingelikubali wa pose awachore picha
 
attachment.php

Duh kumbe hata hawa jamaa nao choka mbaya....

huyu ni albino!!!
 
Ndio namna pekee ya usafiri kama unataka uwahi unakokwenda.... Na kama siyo mbali ni bora utembee kwa miguu utafika haraka.

.................. Foleni, baba, foleni.
 
attachment.php

Duh kumbe hata hawa jamaa nao choka mbaya....
Hivi wabongo sisi tumerogwa?..Na hizi mentality za namna hii ndo maana hatutakuja tuendeleee..mtu kupanda pikipiki ni kuchoka?.Hivi huoni kuwa wakati mwingine boda boda ni more convenient kuliko gari hasa hsa kwenye foleni kama ya Dar?
Nchi zingine huku watu wanaacha magari wananyonga baiskeli zao wanaenda kazini, irregardless ana cheo gani au pesa kiasi gani au utajiri kiasi gani,,,kwanza anajali muda, cost na factors zingine....sasa sisi hizi akili zetu za kibantu, bado tunadhani eti mtu akiwa na pesa ni lazima atumie usafiri wake vinginevyo kachoka..kaaz kweli kweli
 
lakini kutumia usafiri wa pikipiki si dalili ya kuchoka, au unaonaje ndugu?
 
lakini kutumia usafiri wa pikipiki si dalili ya kuchoka, au unaonaje ndugu?
Wale wale...mimi kama natoka LocationA kwenda LB natumia 15 mins kwa gari wakati huo huo natumia <15mins kwa boda boda au baiskeli,,,I think i'll go with the latter!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom