Achraf Hakimi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 875
- 1,779
Chama ana misimu takribani mitano yupo na ubora ule ule, Pacome ana misimu mingapi ya kuwa bora?Pacome mwaka jana ni mchezaji bora wa ivory coast unampaje mda
Chama ana misimu takribani mitano yupo na ubora ule ule, Pacome ana misimu mingapi ya kuwa bora?Pacome mwaka jana ni mchezaji bora wa ivory coast unampaje mda
Na mwisho wa siku timu za nje hazimshobokei. Yeye ni wa hapa hapa tu bongoLabda unamuongelea Chama wa mtaani kwenu, Chama kashawafunga Yanga, kawafunga as vita wakiwa form, kawafunga al ahly mbili wakiwa kwenye form, ndio maana tunasema pakome yupo vizuri ila anapaswa kubakia na kiwango hicho Kwa muda. Sio miez 8 tu tayri anafananishwa na chama.
Ngoja mashindano ya CAF yaishe tutapata jibu mchezaji yupi atakayehusishwa na kuhitajika na timu za nje. Chama kila msimu hausishwi kutakiwa na timu yeyote ile ya nje.Chama ana misimu takribani mitano yupo na ubora ule ule, Pacome ana misimu mingapi ya kuwa bora?
Ubora upi nawakati juzi hapa mashabiki walikua wanamtukana aondokeChama ana misimu takribani mitano yupo na ubora ule ule, Pacome ana misimu mingapi ya kuwa bora?
Mashabiki wapi mkuu?!Ubora upi nawakati juzi hapa mashabiki walikua wanamtukana aondoke
Chama ni mzuri asiyekua na consistency
Messi kaishacheza timu tatu mpaka sasa. Hata alipokuwa anachezea Barcelona ndiye alikuwa mchezaji ghali zaidi kumsajili. Na timu nyingi sana zilikuwa zinamuhitaji. Sasa mara mwisho kusikia tetesi ya Chama kuhitajika ni lini? Ukisikia tetesi basi anahusishwa na Yanga pekee na sio kuhusishwa na vigogo vya soka Africa.Sawli hilo aulizwe Messi.
Chama kacheza timu ngapi?Messi kaishacheza timu tatu mpaka sasa. Hata alipokuwa anachezea Barcelona ndiye alikuwa mchezaji ghali zaidi kumsajili. Na timu nyingi sana zilikuwa zinamuhitaji. Sasa mara mwisho kusikia tetesi ya Chama kuhitajika ni lini? Ukisikia tetesi basi anahusishwa na Yanga pekee na sio kuhusishwa na vigogo vya soka Africa.
Timu yako ilimshimamisha kwa utovu wa nidhamu na kumtuhumu hajitumi au umesahauMashabiki wapi mkuu?!
Chama kaimbwa sana na Simba katoka Simba kaenda Berkane kisha kafeli karudi tena Simba. Baada ya hapo kila msimu wachezaji wanahusishwa na tetesi za kutakiwa ila yeye hata hawaziwi. Ni mchezaji wa maana kwa timu za Tanzania ila kwengine wanamuona useless.Chama kacheza timu ngapi?
Alianza kucheza Simba?Jitahidi maelezo yawe mafupimafupi.Chama kaimbwa sana na Simba katoka Simba kaenda Berkane kisha kafeli karudi tena Simba. Baada ya hapo kila msimu wachezaji wanahusishwa na tetesi za kutakiwa ila yeye hata hawaziwi. Ni mchezaji wa maana kwa timu za Tanzania ila kwengine wanamuona useless.
Siasa tu za bongo zinaingizwa kwenye soka letu, Hizo tuhuma zao hazikua na mashikoTimu yako ilimshimamisha kwa utovu wa nidhamu na kumtuhumu hajitumi au umesahau
Embu nitajie timu zinazomuhitaji pacome, nyie yanga kama mliweza kumchukua nungunungu ndio mtakuwa hamumtaki chama kweli?Kama Chama ana class kwanini hakuna timu yeyote ile inayomuhitaji? Katoka Berkane karudi Simba na hapandi daraja ya kutakiwa na timu nyingine za daraja la juu?
Kwasasa kila mwana Yanga anaingia mashaka, huenda Pacome akakosekana msimu ujao. Na hili nakuhakikishia Pacome akiendelea na performance yake hiyo hiyo hatobakia Yanga msimu ujao ila Chama utasikia tetesi zake za kutakiwa na Yanga pekee basi.
Mechi ngumu ipi aliyotisha huyo pacome?Match ngumu mpe pacome match laini mpe chama
Kumbuka mwaka jana pacome alikua mchezaji bora wa ivory coastEmbu nitajie timu zinazomuhitaji pacome, nyie yanga kama mliweza kumchukua nungunungu ndio mtakuwa hamumtaki chama kweli?
Vs simba Aliyofungwa tano na simbaMechi ngumu ipi aliyotisha huyo pacome?
Hahahaaa UTO kwenye ubora waoKwakuwa mpira unachezwa hadharani, currently PACOME kulinganishwa na Chama ni kutokujua sayansi ya mpira na ni kumkosea heshima PACOME
Chama anaibuka mechi moja tu tena ya vibonde alafu mnaleta kelele nyingi.
Hapo ndio umetaja timu inayomuhitaji? Mchezaji bora hata kwao hawamjui! Maajabu hayaKumbuka mwaka jana pacome alikua mchezaji bora wa ivory coast
Chama uarabuni kulimshindaHahahaaa UTO kwenye ubora wao
Hapo ndio umetaja timu inayomuhitaji? Mchezaji bora hata kwao hawamjui! Maajabu haya
Pakome umri unamruhusu anaweza kwenda timu nyingine na Hata kubakia Yanga na kufanya makubwa zaid ya chama, Chama ana miaka zaid ya 30 inawezekana Hata asifanye vzr kama mwanzo ila kashafanya makubwa mwa muda mrefu ila Kwa Pakome miez hii 8 tu aliyochezea Yanga haitoshi kumuweka daraja Moja na chama Bado ana safari ndefu sana. Otherwise chama atabakia kuwa mchezaji Bora wa muda wote kwenye ligi kuu ya tzNgoja mashindano ya CAF yaishe tutapata jibu mchezaji yupi atakayehusishwa na kuhitajika na timu za nje. Chama kila msimu hausishwi kutakiwa na timu yeyote ile ya nje.