Mzizi wa fitna: Pacome vs Chama, nani zaidi?

Labda unamuongelea Chama wa mtaani kwenu, Chama kashawafunga Yanga, kawafunga as vita wakiwa form, kawafunga al ahly mbili wakiwa kwenye form, ndio maana tunasema pakome yupo vizuri ila anapaswa kubakia na kiwango hicho Kwa muda. Sio miez 8 tu tayri anafananishwa na chama.
Na mwisho wa siku timu za nje hazimshobokei. Yeye ni wa hapa hapa tu bongo
 
Chama ana misimu takribani mitano yupo na ubora ule ule, Pacome ana misimu mingapi ya kuwa bora?
Ngoja mashindano ya CAF yaishe tutapata jibu mchezaji yupi atakayehusishwa na kuhitajika na timu za nje. Chama kila msimu hausishwi kutakiwa na timu yeyote ile ya nje.
 
Sawli hilo aulizwe Messi.
Messi kaishacheza timu tatu mpaka sasa. Hata alipokuwa anachezea Barcelona ndiye alikuwa mchezaji ghali zaidi kumsajili. Na timu nyingi sana zilikuwa zinamuhitaji. Sasa mara mwisho kusikia tetesi ya Chama kuhitajika ni lini? Ukisikia tetesi basi anahusishwa na Yanga pekee na sio kuhusishwa na vigogo vya soka Africa.
 
Chama kacheza timu ngapi?
 
Chama kacheza timu ngapi?
Chama kaimbwa sana na Simba katoka Simba kaenda Berkane kisha kafeli karudi tena Simba. Baada ya hapo kila msimu wachezaji wanahusishwa na tetesi za kutakiwa ila yeye hata hawaziwi. Ni mchezaji wa maana kwa timu za Tanzania ila kwengine wanamuona useless.
 
Alianza kucheza Simba?Jitahidi maelezo yawe mafupimafupi.
 
Kama Chama ana class kwanini hakuna timu yeyote ile inayomuhitaji? Katoka Berkane karudi Simba na hapandi daraja ya kutakiwa na timu nyingine za daraja la juu?
Kwasasa kila mwana Yanga anaingia mashaka, huenda Pacome akakosekana msimu ujao. Na hili nakuhakikishia Pacome akiendelea na performance yake hiyo hiyo hatobakia Yanga msimu ujao ila Chama utasikia tetesi zake za kutakiwa na Yanga pekee basi.
Embu nitajie timu zinazomuhitaji pacome, nyie yanga kama mliweza kumchukua nungunungu ndio mtakuwa hamumtaki chama kweli?
 
Kwakuwa mpira unachezwa hadharani, currently PACOME kulinganishwa na Chama ni kutokujua sayansi ya mpira na ni kumkosea heshima PACOME

Chama anaibuka mechi moja tu tena ya vibonde alafu mnaleta kelele nyingi.
Hahahaaa UTO kwenye ubora wao
Kumbuka mwaka jana pacome alikua mchezaji bora wa ivory coast
Hapo ndio umetaja timu inayomuhitaji? Mchezaji bora hata kwao hawamjui! Maajabu haya
 
Ngoja mashindano ya CAF yaishe tutapata jibu mchezaji yupi atakayehusishwa na kuhitajika na timu za nje. Chama kila msimu hausishwi kutakiwa na timu yeyote ile ya nje.
Pakome umri unamruhusu anaweza kwenda timu nyingine na Hata kubakia Yanga na kufanya makubwa zaid ya chama, Chama ana miaka zaid ya 30 inawezekana Hata asifanye vzr kama mwanzo ila kashafanya makubwa mwa muda mrefu ila Kwa Pakome miez hii 8 tu aliyochezea Yanga haitoshi kumuweka daraja Moja na chama Bado ana safari ndefu sana. Otherwise chama atabakia kuwa mchezaji Bora wa muda wote kwenye ligi kuu ya tz
 
Hawa wachezaji wote muhimu kwenye timu zao, Pacome kaisadia timu yake kumfunga Simba 5 Chama akiwa uwanjani na pia kufuzu robo CCL
Chama kaisaidia Simba kushinda 6 kwa Jwaneng Pacome hakuwepo na kufuzu robo CCL.
Hata timu zao zilipokutana misimu ya nyuma Simba alishinda 2 Dar akaenda kupigwa 3 ugenini kinara akiwa Aziz K.
Sina kumbukumbu kama Chama ni MVP kwenye ligi yetu au alipokuwa kwao Zambia, wenye takwimu mtusaidie, ila Pacome kaja akiwa MVP huko kwao na kwa performance yake kwenye ligi sitashangaa akiwa MVP wa msimu huu.
Kila mmoja ni mzuri kwa nafasi yake na kama mnataka kujua thamani zao wawekeni sokoni leo wataalamu watawasadia kuwaambia nani ana thamani kubwa kwasasa.
 
Back
Top Bottom