Mzindakaya: Serikali ya Tanzania Kuomba Misaada ni Aibu ya Kutupwa

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Mhe. Mzindakaya ameishambulia Serikali ya Tanzania kwa kuendekeza misaada ya nje. Alienda mbali kwa kusema kwamba viongozi wetu ni wapiga porojo tu.

Source:
Channel Ten. Kipindi cha HAMZA KASONGO HOUR usiku wa tarehe 9 Septemba 2012.
 
Ni jambo zuri kuwaambia ukweli sasa kazi kwao wajirekebishe na kuacha hizo poro zao
 
Mhe. Mzindakaya ameishambulia Serikali ya Tanzania kwa kuendekeza misaada ya nje. Alienda mbali kwa kusema kwamba viongozi wetu ni wapiga porojo tu.

Source:
Channel Ten. Kipindi cha HAMZA KASONGO HOUR usiku wa tarehe 9 Septemba 2012.

Safi!!! Kweli hata hawa waasisi wamechoka? Sasa kama wamechoka hawa, wapiga kura ni vipi ambao hawajui kesho watakula nini, kuvaa na kulala? Asante mzee kwa kusidia the downfall!!
 
Huyu mzee alijitahidi sana kuhimiza watu wafanye kazi alipokuwa mkuu wa mkoa sehemu mbalimbali za Tanzania, hasa shughuli za kilimo. Pengine anashangaa badala ya kusogea mbele ndio tunazidi kurudi nyuma.
 
Back
Top Bottom