Mzindakaya, Kimiti na Keenja watangaza kutogombea tena

- Ninatamani sana Mzee Mtei angerudi kuchukua nafasi ya Ndulu! Ninafikiri baada ya kuondoka kwa Mzee Kawawa, somebody is trying to use hii nafasi kuondoa wazee waliobaki aingie kwenye power na kutupeleka pabaya, hii ya wazee wa Mtandao wa Lowassa, kina Kimiti na Mzindakaya na kule Kisumo, nina wasi wasi nayo sana na what is the motive behind hasa wakati huu wa kuelekea uchaguzi!

- It is a high time sasa kina Mzee Mtei wakarudi huko BOT kuokoa jahazi, maana sasa hili taifa tunakwenda chini tu, hatuwezi tena kwenda juu na kina Ndulu na the likes!

Respect.


FMEs!
 
Hebu acheni kutuzengua. Mlishawahi kuchukua fomu za kugombea mkanyimwa. Kama wazee wanachukua, kwa nini na nyie msichukue.

Acheni ulalamishi usiokuwa na msingi. Wewe kama unaona makweta, Cheyo (CCM), malecela, Kingunge, n.k wamezeeka chukua fomu ukapambane nao.

Ukiona wananchi wanawapa ridhaa ya kuwaongoza ujue hawajachoka.

Kingunge hakuomba ateuliwe ubunge ila anahitajika kwa JK
 
Ngudu zangu;

Tuwe waangalifu kwenye kushangilia maamuzi ya mtu kama mzindakaya;

  • maechukua pesa zetu kupitia benki kuu na sijui kama zimerudi...
  • Mzindakaya ana binti ambaye ni mwanasiasa na nadhani ni M-NEC kwa hiyo unaweza kuta sio anang'atuka bali tu anarithisha kiti kama ilivyo ada ya chama chao
Niko very skeptical na baadhi ya exciting news hasa kutoka kwa watu kama mzindakaya... namuona kama kingunge, waliposhika mirija ya maziwa yetu, wakatusahau rasmi

Labda atapewa ubalozi baada ya yote maana ndio shukrani za siku hizi
 
Ni kweli kabisa wazee hawa wamefanya jambo la busara kutangaza kutogombea,mzee mzindakaya tutayamis mabomu yake lakini vijana wapo,salamu hizi za wazee hao wawili zimfikie maalim seif popote alipo,iwe darajani ama kibanda maiti,kipindi cha lala kwa buriani ndio hiki.
 
LEVINA KATO,

MEMBER of Parliament for Ubungo, Mr Charles Keenja, today joined the list of legislators to announce they will not run for parliament in the forthcoming general elections.

Mr Keenja stated his position today, while responding to a question from reporters at Bunge premises.

The 60-year old legislator said he had done a lot in the public service and it was time for others to take over.

"I made myself a promise that I would lead Ubungo constituency for two consecutive terms. I have done enough, I should let other people pick from where I have left," he said, adding:

"I am not planning any further engagement in politics, I will use the rest of my time to serve my family, unless I am consulted for advice."

When asked whether he was quitting under pressure, he replied in the negative.

Mr Keenja joins the 'bandwagon' of Dr Chrisant Mzindakaya (Kwela) and Mr Paul Kimiti (Sumbawanga Urban), who declared last month that they would not contest for another term.

The two MPs from Rukwa Region made their decision in the presence of Prime Minister, Mr Mizengo Pinda, who is also MP for Mpanda East.

Last November, President Jakaya Kikwete hinted that if re-elected, he would inject new blood in the country's leadership.

Earlier this month, the Prime Minister suggested two to three terms for parliamentarians.

Source: Daily News
 
Teh teh teh kweli amesoma alama za nyakati, huyu hata kama angeamua kugombea tena, asingeweza kurudi bungeni.,kwa kipi hasa cha maana alichofanya kwa miaka 10 aliyodumu mjengoni.
 
nimemuona wa maana sana angekataa wizi wa kura za 2005 uliomrudisha bungeni. Mda ule. Leo baada ya kutosheka (mumekuita kusoma harama za nyakati) anadai hangombei. duh!
 
Hizi ni habari njema.Ni bora ameamua kuachia ngazi mwenyewe kuliko angetolewa kinguvu.Namtakia kila la heri.
 
(binafsi)
keenja alishindwa kazi, alipata ubunge kwa nguvu ya ccm, jimbo alilishindwa siku nyingi, hakupigiwa kura, alikata tamaa, hakujishughulisha, amempa mama shamsa kwa sasa anamwaga mahela tu ubungo.
Kutangaza kutogombea kwake hakuna maana kwani ilikuwa inajulikana kwama jina lake halipiti popote.
Tunashukuru ameepuka fedheha.
Lakini sio kuwa amewaachia wengine, ameshindwa pa kuanzia kugusa, kote moto.
 
Hebu acheni kutuzengua. Mlishawahi kuchukua fomu za kugombea mkanyimwa. Kama wazee wanachukua, kwa nini na nyie msichukue.

Acheni ulalamishi usiokuwa na msingi. Wewe kama unaona makweta, Cheyo (CCM), malecela, Kingunge, n.k wamezeeka chukua fomu ukapambane nao.

Ukiona wananchi wanawapa ridhaa ya kuwaongoza ujue hawajachoka.

Kingunge hakuomba ateuliwe ubunge ila anahitajika kwa JK

Wanasubiri kuwarithisha watoto wao bana ngoja wasubiri kidogo ili watoto wao wafisadi then ndo warithiwe na vijana wao siasa imekuwa uchifu
 
Back
Top Bottom