Mzee wangu lubuva kana maneno yako kabala ya laana ya mungu kukufwata

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Wengi wamezoea kusikia siasa za hawa wanaoitwa viongozi wa tume
tumesikia mengi sana kutoka kwa mh makame ambae mpaka anaondoka
akuna alichokifanya zaidi ya kushabikia upande mmoja na kuondoka
na laana ya wizi wa kura kila sehemu kupendelea ccm

binafsi mzee wangu nampenda sana na nilimpongeza wazi kupitia hapa lakini
kwa hili la kuachana na halmashauri naomba aombe radhi watanzania na kukiiri
aliongea justa politics..naamini tunapoelekea nikikumbuka ahadi za aliemwachia kiti

nahisi wanamtafutia laana mzee wangu mkristo safi ambae ajui uongo na kwenye kesi zake
amekuwa mstari wa mbele kuongoza haki ingawa rushwa aikosekani kama alipotujulisha
majuzi mh mkuu wa mkoa pwani mwantumu mahiza kwamba kila mtu anakula urefu wa kamba yake
ama mahali pake pa kazi so jahazi wasimuaribie kazi loh

sipendi kufika huko mzee wangu kama ni kweli nakutakia heri lakini nimekuwamsikilizaji na mgfwatliaji sana wa ahadi za hii tume naamini mungu wako unaemwamini atakuongoza kuachana na siasa chafu za serikali ya ccm na kuacha kuongea uongo kwa mambo ambayo ni waziri alishaweka hadharani awawezi kuachana na halmashauri akijua wanapata sh ngapi mnapopeleka pesa kwenye halmashauri kwa ajili ya uchaguzi mbaya ni laana na aibu mnapotoa hela alafu wahusika wakusimamia uchaguzi wanakosa kupewa hela zao huku uchaguzi umekwisha naaminikama muumini wa kikristo
utasaidia tatizo hiili kuondokana na laana za malalamiko kumbuka wengi mnachukuwa wlaimu ambao bado wamekopwa na serikali kwenye mishara yao mnapowakopa na nyie kama tume hali hela iko mnaongozwa na laana ya mungu na hakika kuanzia uchaguzi wa arumeru atakaesikika akilalamika kutolipwa nitatangaza maombi rasmi kwa ajili ya tume yako na naamini mungu alie hai ataanza kusiafisha tukiwa hapa hapa duniani
 
Back
Top Bottom