Mzee wa Upako Jonh Mwambigija Kuimaliza CCM Mbeya

kamanda wa kamanda

Senior Member
Oct 12, 2013
191
75
Mkuu wa Oparesheni na Hamasa kanda ya nyanda za juu kusini chadema kamanda mkuu Jonh Mwambigija ameahidi kuimaliza Ccm katika Chaguzi ndogo za Udiwani ambapo mkoa wa mbeya kuna kata mbili zilizo kua za ccm akiongea na vyombo vya habari amesema kua ni lazima ushindi upatikane kwa Chadema katika mkoa wa mbeya iringa na njombe amesisitiza kua kama kawaida Ushindi ni lazima kwa Chadema ImageUploadedByJamiiForums1387775676.514486.jpg
 
Kwel jamaa ni noma ila kuna mambo anatakiwa aache ubabe usio wa lazma kwan anaweza kupoteza sifa yake ila ukwel ni jembe huyu jamaa
 
Ahsante sana kamanda! Najua yeye na mwanasheria nguli kamanda Fadhili mziki wao ni balaaaaaa
 
Mkuu wa Oparesheni na Hamasa kanda ya nyanda za juu kusini chadema kamanda mkuu Jonh Mwambigija ameahidi kuimaliza Ccm katika Chaguzi ndogo za Udiwani ambapo mkoa wa mbeya kuna kata mbili zilizo kua za ccm akiongea na vyombo vya habari amesema kua ni lazima ushindi upatikane kwa Chadema katika mkoa wa mbeya iringa na njombe amesisitiza kua kama kawaida Ushindi ni lazima kwa ChademaView attachment 128296

dah...

hii picha inankumbusha ENZI HZO CHADEMA NI CHADEMA KWELI...
 
Mkuu Lingasiku, Mwambigija si mmbabe bali ni caterpillar halisi hapa Mbeya mapandikizi ya ccm hawana hamu na huyu jamaa.

Ni kweli kabisa Siasa ya mbeya ukiwa nyuki wa mashineni utakishambalatisha chama maana Al-shaabab ni wengi sana bila matamko makali hausongi mbele
 
Back
Top Bottom