Mzee wa feva kajipumzisha kidogo...!

kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
37,208
18,476
68863_628207780543151_1727021910_n.jpg
 
Polisi wa bongo wengi walevi tu. Ukikutana nao kwenye vibanda vya kuuza viroba katikati ya jiji usiku ni hatari tupu, manaake wale wanaolinda mabenki kila mtu amebeba silaha,sasa wanaacha malindo yao wanakusanyika kama kumi hivi wanakunywa. fujo tupu.
 
hicho kitambi kinatoboa shati sasa hapo akifika home familia yakula ugali kwa nyanya chungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom