Mzee Ruksa hakukosea Kuwaita "kichwa cha mwendawazimu"

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,177
7,750
Leo hii imedhihirika katika mechi na Zambia.
Pamoja na timu ya zambia kuonekana kupoteza matumaini kwa kucheza pungufu na kadi kibao za njano lakini wapi bwana!!!....bado kichwa cha mwendawazimu kimenyolewa.

Kwa mechi hii ya leo mmethibitisha udhaifu mkubwa, hata asiye kuwa mtaalamu wa mpira anaweza kubaini.

Tunasafari ndefu ya kujenga timu imara ya Taifa yenye muunganiko wenye viwango.
 
Nimetazama mpira kwa umakini mkubwa, ukweli ni kwamba viwango vyetu ni vidogo mno kulinganisha na viwango vya timu zingine!, vijana wamejitahidi pamoja na kubebwa, "" tujenge timu ambayo inaweza kuamua matokeo ya mchezo! Wakati wowote inapohitaji ushindi ""
 
Nimeudhika sana. Tulikuwa na uwezo wa kufunga hata 5. Tunacheza mpira kama hatushindanii chochote. Hopeless.
 
Leo hii imedhihirika katika mechi na Zambia.
Pamoja na timu ya zambia kuonekana kupoteza matumaini kwa kucheza pungufu na kadi kibao za njano lakini wapi bwana!!!....bado kichwa cha mwendawazimu kimenyolewa.

Kwa mechi hii ya leo mmethibitisha udhaifu mkubwa, hata asiye kuwa mtaalamu wa mpira anaweza kubaini.

Tunasafari ndefu ya kujenga timu imara ya Taifa yenye muunganiko wenye viwango.
Tatizo janja janja nyingi za mabao ya mikono
 
Aya Kwa Morrocco sababu watu walisema wana professional player wengi nje ndomana wametufunga Aya na hapa Kwa Zambia walioko pungufu sababu nin aisee?
 
Nimetazama mpira kwa umakini mkubwa, ukweli ni kwamba viwango vyetu ni vidogo mno kulinganisha na viwango vya timu zingine!, vijana wamejitahidi pamoja na kubebwa, "" tujenge timu ambayo inaweza kuamua matokeo ya mchezo! Wakati wowote inapohitaji ushindi ""
Hawakubebwa bali wameshindwa kutumia fursa zilizo jitokeza.
Baada ya zambia kulimwa kadi nyekudu walipaniki vibaya sana na kutoka kabisa kwenye mchezo, hii ilikuwa fursa adhimu kwa Taifa sta kuongeza mabao lkn wameahindwa kabisa.
 
Back
Top Bottom