Mzee Paul Kimiti aaga Rasmi Bungeni kwa mbwembwe

Kapumzike mzee Kimiti umefanya mengi sana makubwa ya kukumbukwa.

Hongera na mapumziko mema
 
Kwa statistics alizotoa yeye mwenyewe ni vema akumbukwe kama mwanasiasa mwenye sifa za ki-Taifa lakini aliyeshindwa kuliletea jimbo lake la Sumbawanga maendeleo...

Mapumziko mema Paulo!
 
Back
Top Bottom