Elections 2010 Mzee Mwinyi

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Nilifuatilia hotuba ya Mzee Mwinyi jana, ana busara sana! japo watu walikuwa wanamshangilia lakini nafikiri wengi hawakumuelewa, aidha walitekwa na kadamnasi au ni mtindo tu. ukipata fursa msikilize tena aliyoongea ni upanga unaokata kuwili. kama kuna mwana jamvi mwenye ile hotuba ilete humu tuitafakari zaidi.
 
Mkuu hebu kwanza watu wamalizane na hii kazi ngumu ya kupokea matokeo. Tutafanya post-mortem baadaye.

Ni mawazo yangu.

DC
 
Imwage basi, lakini sio Mwinyi tu hata Mkapa aliharibu ilionekana kama alikuwa anajikosha kuwa hana ubaya na JK akisema wambea wakome hii ina maana umbea ni ukweli usioruhusiwa kusema hadharani kwa hiyo kumbe kweli
 
Back
Top Bottom