Mzee Mwinyi aibiwa

Hivi huyu mzee ana nyumba ngapi alizopangisha? Na je, kama raia wa kawaida analipa kodi ya mapato ya nyumba za kupangisha? TRA mpo?

umenena mkuu.mapato ya 37m tra wangechukua karibu 10m.huu ni uhujumu uchumi astakiwe
 
kwi!kwiiiii! Na nani?

Nilisikia Batenga alimwibia Nyerere matofali. Lakini sijuhi ukweli wa stori hii. Wanasema Nyerere alikuwa akirudi kutoka kazini alikuwa anafyatua matofali hili ajijengee nyumba.

Batenga alijiunga kumsaidia kwenye kazi hiyo. Baada ya siku kupita na matofali kuwa mengi, Batenga akaleta gari wakati mwalimu akiwa ziarani. Akawaambia walinzi au waliobaki nyumbani kuwa mwalimu kamwambia achukue matofali.

Kwa sababu alikuwa anafanya kazi na mwalimu, wakamwambia achukue. Mwalimu aliporudi akakuta eneo la matofali leupe.
 
Kwa vipi? Sote tunataka utawala wa sheria na haki. Kama una mradi wa nyumba za kupangisha na unalipia kodi hamna neno. Lakini nahisi hapa Mwinyi alitumia cheo chake (kinyume na kanuni za CCM) kujipatia nyumba za kupangisha.

Afu unayesema hivyo una kibanda chako bongo unawalipisha watu wakati wewe mwenyewe upo Marikani. Je unalipa kodi Jasusi.
 
mwambieni mzee mwinyi aje kwangu nitampangishia nyumba zake kwa bei zaidi ya hiyo bei aliyokua anapangisha na sitamuibia hata senti tano atanipia commission yangu basi.
 
Nilisikia Batenga alimwibia Nyerere matofali. Lakini sijuhi ukweli wa stori hii. Wanasema Nyerere alikuwa akirudi kutoka kazini alikuwa anafyatua matofali hili ajijengee nyumba.

Batenga alijiunga kumsaidia kwenye kazi hiyo. Baada ya siku kupita na matofali kuwa mengi, Batenga akaleta gari wakati mwalimu akiwa ziarani. Akawaambia walinzi au waliobaki nyumbani kuwa mwalimu kamwambia achukue matofali.

Kwa sababu alikuwa anafanya kazi na mwalimu, wakamwambia achukue. Mwalimu aliporudi akakuta eneo la matofali leupe.
NI kweli mkuu, Batenga alikwenda kuyachukua matofali hayo baada ya kuandika barua na kufoji saini ya JKN, walinzi walipoangalia saini wakajua ni ya Mzee wakamruhusu ayachukue.
 
Afu unayesema hivyo una kibanda chako bongo unawalipisha watu wakati wewe mwenyewe upo Marikani. Je unalipa kodi Jasusi.

Zakumi,
Kibanda changu kimekwama. Unajua tena kusomesha watoto wawili chuo kikuu hapa US si kazi ndogo. Sijaweka madirisha, na nitaomba msaada wa kifedha. kwi!kwi!
 
yetu macho, hawa 'viongozi' Mungu atawapa maisha marefu sana ili wajulikane haswa ni akina nani, walisema nini na kufanya nini enzi zao
 
Hivi hii ni laana au nini??
Kukimbiwa na mke,
kupigwa vibao,
kuibiwa.....
ohhhh ni kilio cha watanzania baada ya kuuzwa kwa Loliondo gate
Hivi Mama Siti alimkimbia? Naona juzi ameenda Malawi na mke mwingine sijawahi kumsikia
 
mimi naona angelimsamehe tu, ukiangalia vyote alivyochuma sidhani kama huyu alichochukua ni kikubwa sana na ukitilia maanani kuwa anamuita agent wake kwa hiyo atakuwa anamfahamu vizuri na hasa hizi issue zao za 'upigaji' na akaamua kujisevia walau hako kadogo, 37m.
 
How could an ex-President, with a minister for a son, use a streetwise agent beats me. Doesn't he know Knight Frank and the likes? Ridiculous......:embarassed2::eyebrows::lol:
 
Hii ni bonge la NOMA kweli...... huyu jamaa alidhani Mzee RUKSA hatajua au?, pengine anataarifa zingine juu ya kipato cha Mh. Rais msataafu..... .... sasa limegalambuka.... na hapa inaonyesha kuwa hakupewa dhamana au dhamana sio haki yake?
 
Hivi Mama Siti alimkimbia? Naona juzi ameenda Malawi na mke mwingine sijawahi kumsikia
Nchi yetu imejaa viwanda vya uongo, kuanzia JK mpaka raia wake.

DSC_8520.jpg
 
How could an ex-President, with a minister for a son, use a streetwise agent beats me. Doesn't he know Knight Frank and the likes? Ridiculous......:embarassed2::eyebrows::lol:
ukiona mmiliki wa property anawatumia hawa jamaa (on red) ujue anajiamini na jinsi alivyozipata na analipa kodi vilevile
 
Back
Top Bottom