Mzee Edwin Mtei: Ni kweli tumewachochea vijana wetu jasiri kudai haki yao

Yakuza

Senior Member
May 22, 2011
114
43
Mzee Mtei amekiri live kuwa CHADEMA ni kweli wamewachochea vijana wao jasiri kudai haki zao.

Nimefurahishwa sana na kauli yake bila kutafuna maneno:dance:. Big up Mzee Mtei!

Source: Channel 10 news at 1900hrs on 24 May 2011.
 
Kwa umri wa Mzee Mtei hawezi kuwa mwongo kwa vyovyote. Kama ndivyo, CDM must review its strategy asap!
 
sio kuchochea ni kushawishi,bila mobilization ni ngumu kufanikiwa ktk kudai uhuru,haki.safi sana mzee muona mbali
 
Kwa umri wa Mzee Mtei hawezi kuwa mwongo kwa vyovyote. Kama ndivyo, CDM must review its strategy asap!

Sasa kuna tatizo gani hapo kama una wachochea vijana na watanzania kwa ujumla kudai haki zao? Mara nyingi serikali ndio inayoleta vurugu ili wananchi wasidai haki zao!
 
Mzee Mtei amekiri live kuwa CHADEMA ni kweli wamewachochea vijana wao jasiri kudai haki zao.

Nimefurahishwa sana na kauli yake bila kutafuna maneno:dance:. Big up Mzee Mtei!

Source: Channel 10 news at 1900hrs on 24 May 2011.

mmmmm!!!!! Basi hivi vyombo vya habari vina mambo! Mimi nimemsikia ITV anasema serikali inachukizwa na somo la uraia ambalo wao wanawafundisha watu na waliotokea kulipokea na kulielewa zaidi ni vijana! Sasa hapo sijui kaongea kwa nyakati tofauti tofauti?
 
Sioni tatizo, naonacho mimi ni ujasili na maalifa ya kufaa. Niwapongeze kwa kuchagua vijana makini.Hii ni safi sana
 
Kama kweli wamewachochea vijana kufanya kudai haki kwa vurugu basi hiyo si startegy njema. Nadhani Marando ana strategy nzuri yaani kuipeleka serikali/wawekezaji mahakamani ili wana TArime wapate haki. Ni hakika wananchi wa Nyamongo wanaonewa sana kuliko tunavyoona hivi sasa. Pamoja na hayo si vema kuchagiza vurugu hasa kwa ndugu zetu wakurya ambao wamekuwa vitani tangia miaka ya 1980. Ni vema tukahubiri amani huko Tarime huku tukidai haki za ndugu zetu hao hata kwenye mahakama za kimataifa vinginevyo tunataka kuiangamiza Tarime.
 
mmmmm!!!!! Basi hivi vyombo vya habari vina mambo! Mimi nimemsikia ITV anasema serikali inachukizwa na somo la uraia ambalo wao wanawafundisha watu na waliotokea kulipokea na kulielewa zaidi ni vijana! Sasa hapo sijui kaongea kwa nyakati tofauti tofauti?

"Tunawachochea vijana wetu jasiri kudai haki" says Edwin Mtei, the Founder of CHADEMA.

Source: Channel Ten and TBC1 news at 1900hrs and 2000hrs on 24 May 2011 respectively.
 
Mimi sidhani Mtei alikuwa na maana ya kwenda Nyamongo na kuwaita vijana na kuhubiri vurugu . Mtei ana maana vijana wa Chadema akina Zitto, Lema , Lissu nk hawa ndiyo anao zungumzia sasa ukidhani ni kundi jingine nadhani patakuwa na mjadala mrefu usio na sababu
 
Nami nimeskia mzee Mtei kwenye news, kauli yake imeniogopesha kidogo!

Labda kapitiwa, na umri nao ndo umeenda hivyo tumsamehe kwa matamshi yake, maana kama katoba siri fulani.....makubwa haya!
 
Mimi sidhani Mtei alikuwa na maana ya kwenda Nyamongo na kuwaita vijana na kuhubiri vurugu . Mtei ana maana vijana wa Chadema akina Zitto, Lema , Lissu nk hawa ndiyo anao zungumzia sasa ukidhani ni kundi jingine nadhani patakuwa na mjadala mrefu usio na sababu

Asante sana Mkuu, nimemsikiliza Mtei na wala haihitaji kuwa na Degree kuelewa nini alikuwa anasema
 
Kuchochea watu (vijana) kudai haki zao ni sawa ila tafsri ya neno kuchochea ndiyo inayopotoshwa.
Mfano tunaambiwa "Nyerere alichochea wajumbe wamchague Mkapa 1995."
"Mtei amewachochea vijana kudai haki zao" sioni hoja ya kuwa Mtei amekosea vijana lazima wachochewe ili kudai haki zao
 
Kwa umri wa Mzee tei hawezi kuwa mwongo kwa vyovyote. Kama ndivyo, CDM must review its strategy asap!

safi sana mtei vijana ni lazima kuwa na ujasiri ili 2dai haki zetu bigup CDM msichoke nasi twaja kuwapa support
 
Nami ninampongeza Mzee Mtei kwa kuwa mkweli na muugwana:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Back
Top Bottom