Mzee Dude wa FUTUHI afariki dunia

maskini mzee wa.watu, nilikuwa nikimpenda akiigiza na kale kadada kafupi, kwasasa ntabaki kumshabikia yule jamaa muha wa tengua kauli!
 
Msanii wa kundi la Futuhi Mzee Dude amefariki dunia Leo mida ya saa kumi na moja jion.


Habari zinasema Inauma sana 2po pa1 ktk kpnd hk kgum
 
Back
Top Bottom