Mzee David Wakati Katutoka Leo

mungu ailaze roho ya marehemu mahali panapostahili. Sote ni njia moja.
mahali panapostahili sawa,kama alitenda mema apokele kam alimwasi mungu basi aende panapofaa.ila nji amoja hapana maana njia yake uijui ndugu yangu mzee sawa sawa?nadhani umenielewa
 
Mkurugenzi wa zamani wa RTD , Mzee DAVID WAKATI amefariki dunia leo asubuhi katika hospital ya Regency Upanga. Mzee David Wakati tutakukumbuka kwa umahiri wako katika kazi. Ulikuwa mzalendo wa kweli!!
Bwana ametoa na Bwana ametwaa

R.I.P late Wakati
 
R.I.P David Wakati. Our thoughts are with his family during these difficult times of the loss of their beloved son, borther, husband, father, grandfather, friend, comrade.
 
RIP mzee Wakati. Nakumbuka sana utangazaji wako enzi za RTD na sauti yako nzito. Mungu aipumzishe roho yako mahali pema peponi
 
duh..poleni wafiwa...namkumbua alikwa anasoma taarifa ya habari vizuri sana enzi zileee
 
Nafikiri katika kuomboleza ndugu yetu David Wakati watu wafuatao watakuwa Uncle J (Julius Nyaisanga), Jacob Tesha, Mikidadi Mahamoud, Godfrey Mngodo, Eda Sanga, Ahmed Kipozi. Wengine waweza kuongeza kwa watu tuliokuwa tukisikilisa RTD enzi hizo. RIP David Wakati
 
Inna lillah wa inna illahi rajioon. May Allah grant him the highest place in jannat
 
Poleni sana wafiwa. Huyu alikuwa mmoja wa Wazanzibar wachache walioukubali UTANZANIA. Mmoja wa watangazaji wa TBC ya ukweli.
 
A sad day indeed; tumempoteza mmoja wa watu ambao walikuwa na maoni ambayo yaliweza kufanya watu watafakari. Alikuwa anafanya yale "Mazungumzo baada ya Habari" na kweli alikuwa anafikirisha. Zile dakika tano zilizofuatia baada ya taarifa ya habari na kabla ya kipindi cha Michezo zilikuwa zinagusa sana fikra. Sweet memories - RIP DW
 
Mungu ailaze roho yake mahala pema japo tulikuwa tukimhitaji sana kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru wetu.
 
Back
Top Bottom