Mzee David Wakati Katutoka Leo

Mzee wakati tulikuwa tunasali wote pale Mt Albano pamoja na watoto wake, pumzika salama Mzee na poleni wafiwa wote.
 
namkumbuka huyu wakati huo akiwa mkurugenzi wa rtd,pia alikuwa akiendesha kipindi mashuhuri cha nipe habari. Sauti yake ilikuwa nzito ya wastani isiyokuwa na mikwaruzo kama ya jacob tesha wala mbwembwe kama kama za wakina jongo na benedict kikoti (ben kiko).

Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe!
Amina!!
ni kweli kabisa,nakikumbuka hiki kipindi cha "nipe habari" enzi hizo r.t.d.
 
RIP Mzee DW.
Nawaomba hawa hapa waseme chochote.


  1. bokoman mkongoma,
2. chidi chidi chitenda,
3. wajadi fundi,
4. limonga justin limonga,
5. chivalavala S. Chivalavala,
6. Issa Hassan Majeshi,
7. Jangala Kilongosi,
9. Thomas Mushi Kimboka
10. Zakaria Ndemfoo

Umemsahau Haruna Damla Damla wa ukame st no 10
 
Back
Top Bottom