Mzee Anthony Mbelwa amefariki

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,259
Mzee Anthony Mbelwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Idara ya maadili ya viongozi miaka ya Mwalimu Nyerere amefariki kuamkia 09/09/09.

Amezikwa leo 11/09/09 na mazishi yapo nyumbani kwake Mbezi(njia ya kwenda St Marys Int School).

Atakubukwa kwa uadilifu na uaminifu, na anatukumbusha juu ya kizazi cha viongozi wa serikali ambao sasa kinapotea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom