Muhimu: wanaodhani mtoto wa miaka 8 hawezi kujihusisha na ngono basi niwaelimishe kwamba haya mambo yapo, isiopokuwa tu wao umri huo hufanya kwa kuiga tu, hufanya bila kujua ni kwa nini anafanya, viungo vyao bado havijakomaa.
Niliwahi kumshauri huyu mzazi kwamba uwezo wake kiuchumi wa kuweza kufunga wifi nyumbani na kuweza kumnunulia mtoto simu, sio kigezo cha kumwachia mtoto uhuru kwenye ulimwengu wa kidijitali.
Watoto wana uwezo mkubwa sana kujifunza vitu tusiwabeze, Fast forward mtoto alianza kuchimba chimba huko mitandaoni mpaka kujua kutumia vpn
Wazazi wake wanamkuta mtoto akijichua huku anaangalia hizo x kwenye simu, kufatilia zaidi mwalimu wake ni simu na internet.
Kumpa mtoto simu siyo jambo baya ila tuzingatie haya ::

- Unapompa mtoto simu hakikisha wewe uwe admin wa simu kisha unamsetia restricted mode / parental control mode /kids mode, hii inasaidia kuzuia access ya mambo ya kikubwa pia asishinde sana kwenye simu.
- Mnunulie mtoto wako kitochi, ni simu zisizo na mambo mengi ila mnaweza kuwasiliana, kujua alipo, n.k.
- hakikisha humwachii mtoto simu yenye bundle / data, download vitu anavyopenda, mwekee muvi / latuni / games anazopenda.