mnyongeni
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 141
- 24
Wadau hebu mnisaidie, kwanza nillinunua zantel line ya gsm, baada ya kuweka sh 500, ikawa inaconnect afu nikifungua page inaonesha kama hamna internet access. yaani page inafunguka na kuonesha kama hakuna internet access. mara wakala sh 15. then nikaitumia kwa kupiga simu ili ibaki 0 sh. then nikaconnect ikaconect but haikutoa internet access (nadhani wa kunielewaa ananielewa), nikawapigia customer care, wakasema gsm line haiwezi kunipa internet access, mpaka ninunue cdm line ambayo inauzwa sh 10,000. ambayo inakubali kwenye universal modem, na inafanya kazi na ndo inanipa internet na siyo hizi nornal gsm simcards. then nilinyojaribu kuconnect baadae hata kuconnect at 0 sh. ikawa inagoma, so please wadau hili ni tatizo kwangu pekee, au na zantel nao wametuvodacom? help me please, you can even pm me, kama unaona inafaa.