my sister anatafuta mume

wadau habari zenu,

nina dada yangu ana miaka 34 ana mtoto mmoja hajaolewa anatafuta mume amechoka kuishi maisha y a upweke , kazi yake anajishughulisaha na biashara , ni mrefu wastani, mnene wastani , mweupe na ni mrembo and very hard working . atakayependezewa ntawaunganisha thanks

Daah dili, kama unauhakika ana 6 au 8, niPM fasta .
 
mmmh!mungu niepushie mbali! ww mdada kuwadi sijawahi ona!! na ww nani atakutaftia???pia ujue kutofautisha nafsi kati ya ''NATAFUTA'' na ''NAMTAFTIA''
 
mmmh!mungu niepushie mbali! ww mdada kuwadi sijawahi ona!! na ww nani atakutaftia???pia ujue kutofautisha nafsi kati ya ''NATAFUTA'' na ''NAMTAFTIA''

may b u got me the wrong way , mi sioni ubaya wowote mbona zamani wazazi walikuwa wanatafutia watoto wao wake au waume?
mimi sihitaji but hata nikihitaji nikitafutiwa fresh mradi nikimuona tukapendana wote hamna shida,
 
Hilo moja, la pili ni,wewe sio 'dada yako'?

my goodness! kwanini mtu akisema kwa niaba ya mtu mwingine watu wengi mnafikiri ni yeye? na kwanini akisema yeye hamsemi si yeye?
sio mimi believe or not
 
Nahisi ni wewe unatafuta, unajaribu kutuzuga. Hivi ki ukwei kuna mtu anamtafutia mwenzie mchumba? Excuse us girl!

unahisi ni mimi it's not me my friend, hv mfano wewe una mchumba au mume but una rafiki yangu hana na yupo lonely huwezi ku m connect akikuomba na akiwa anahitaji boyfriend mchumba mume ?
 
Nahisi ni wewe unatafuta, unajaribu kutuzuga. Hivi ki ukwei kuna mtu anamtafutia mwenzie mchumba? Excuse us girl!
<br><br><br>unahisi ni mimi it's not me my friend, hv mfano wewe una mchumba au mume but una rafiki yangu hana na yupo lonely huwezi &nbsp; ku&nbsp; m connect akikuomba na akiwa anahitaji boyfriend mchumba mume ?
 
my goodness! kwanini mtu akisema kwa niaba ya mtu mwingine watu wengi mnafikiri ni yeye? na kwanini akisema yeye hamsemi si yeye? sio mimi believe or not
kwa sababu unakatabia hako ka kutumia nafsi za wenzio kumbe ni ww!
 
toa namba za mawasiliano kuna kaka yanyu wa miaka 39 anatafuta mke ila yeye ni mrefu, maji ya kunde na ni mfanya biashara pia hapo Morogoro. Hachagui dini wala kabila
 
Mi pia natafuta mke, na akiwa na mtoto sio mbaya maana na mimi pia ninae,
But hapo naona nitamezwa tu mimi na mtoto wangu, maana mimi nina miaka 31 wakati mtoto wangu ana miaka 12
 
wadau habari zenu,

nina dada yangu ana miaka 34 ana mtoto mmoja hajaolewa anatafuta mume amechoka kuishi maisha y a upweke , kazi yake anajishughulisaha na biashara , ni mrefu wastani, mnene wastani , mweupe na ni mrembo and very hard working . atakayependezewa ntawaunganisha thanks
this is somehow strange

anyway, kama unaweza, kwasbabu siku hizi wanaume wengi wavivu wa kutafuta sana.... awe anaenda church (kwa wale wapole) au anenda kwenye vijiwe kwa wale walafi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom