My Opinion: Kati ya hawa watatu LAZIMA mmoja awe rais 2015

Ninyi nyote nadhani mmelukwa na akili huwezi kumlinganisha Dr.Slaa na e.Lowasa kama kweli yeye alikuwa mwadilifu kwann alijiuzur iliawalinde wezi. Eti huwa namaamzi mazito kwann siku anajihuzur hakutaja wez ili wananchi tuwafaham. Ss basi huyu mtu hatufai kwan alikubali kujihuzur iliawalinde wez wezake na hata kama akiwa Rais huyu mtu ataendelea kuwalinda wezi kwa sabab kuwalinda wezi nitabiayake hatufai huyujamaa.
Mpaka ss hv Rais anayefaa ni Dr. W. Slaa Mungu ibariki Tanzania........
 
Hawa watatu ni sahihi kabisa:- Lowassa ame-JICHAFUA mno tuhuma za ufisadi; Hussein Mwinyi yeye kidogo angeweza lakini amepanda Basi KIMEO tukimchagua huyu hatufiki popote; Ila Dr. Slaa.....Eeeh....Amh....... kila nikijaribu kutafiti upungufu wake, kwakweli SIJAONA.
 
Edward ngoyai lowasa
jasiri
mthubutu
mtawala
kiongozi
amekomaa kisiasa
udhaifu wake ndio silaha yake
Wacha ujinga wewe kule Monduli waulize Maleigwanani anapigwa chini, kwenye Uraisi hana chake utaona hata wapambe wake kina Millya wamekimbia chama chao!!!!

 
Mwinyi anaweza kuwa mgombea mwenza 2015. Uraisi bado hajaonyesha cheche
Lowasa kufika hiyo 2015 kazi, wacha kugombea. Tumwombee uzima lakini
CDM ni chama bora kwa sasa lakini kitafute mgombea bora. Huyu bw hafai. Najua nitawaudhi wengi lakini ukweli ndio huo.
 
Back
Top Bottom